Diamond Platnumz Katika Mapenzi Mazito Na VJ Penny...Is She Pregnant?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


kiwa ni jana tu, Raisi Wa Wasafi, Diamond Platnumz alitupia picha katika moja ya mitandao ya jamii anayotumia, huu ukiwa ni Instagram ya mtangazaji wa kipindi cha Xtreme kituo cha TV cha DTV, Pennyl Mungirwa a.k.a Penny ikiwa na maandishi chini yake yanayoonesha wawili hawa sasa wako katika mahusiano ya kimapenzi.
Diamond anaetamba sana kwa sasa na wimbo wake wa Kesho uliofanyika MJ Records chini ya Marco Chali na video yake kufanywa Nairobi, Kenya ali-post picha hiyo ikiwa na maandishi au Hashtags "#MaBabyMama De'MumOfMyBlood #MamaYounDiamond #YounPlatnumz #YounPrezident" yaliyozidi kuweka wazi kuwa wawili hawa wako pamoja kimapenzi.
Check picha hapa chini:

Penny V

Katika hali iliyozua maswali zaidi, moja ya Hastags hizo, zilionesha VJ Penny ana ujauzito wa Diamond Platnumz... Je ni kweli??  Maandishi hayo yalisomeka, "#MaBabyMama De'MumOfMyBlood"
Wawili hawa wamekuwa wakishukiwa kuwa kwenye mapenzi kutokana na picha tofauti ziliwaweka katika mapozi yaliyoonesha hivyo lakini muda mwingi hawakutaka kuyaongelea haya na mara mara walionekana kukanusha kabisa habari hizo.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad