Je Wewe ni Mwanaume? Je Unatamani Mwanamke Akupende na Kukusifia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Je wewe ni Mwanaume???
Je unatamani Mwanamke akupende na kukusifia kwamba Ur the Man na wewe ni Husband Material??
Its easy...Kuwa tu mjinga!Huwezi kumsatisfy Mwanamke kama wewe sio mjinga!
Akisema usiangalie Mpira wa Man U na Arsenal anataka muende muvi ya Die Hard we kubali tu...
Akisema amekumiss uende home hata kama una party na washkaji mnahave Fun we jifanye mbwiga nenda,shes lonely na anakutaka wewe...
Akiomba hela ya Shopping Laki1 we mpe tu hata kama viatu vyako ulinunua buku 20 tena kwa kugombana na Machinga hadi ukamwaga mate kama Mvua..
Wanawake wana endless needs..Zingine zinaboa na kukera jazz band,ila huna jinsi,if you really want to satisfy her,You must be a fool...Akikuamsha amekumiss sa9 usiku amka umbusu,ukijifanya kukoroma kimenuka...Hao ndo Wanawake...Hii ndio Yangaaaaaaa!!
Message from:
Seth De Jesus Giovanni
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. bt sio wanawakw wote watakusifia wengine ndo wanasema wamepata soro

    ReplyDelete
  2. Mgema akisifiwa....,
    utajaza wewe huko kwengine.

    ReplyDelete
  3. hapo kwenye kuangalia mpira labda uwe shabikimandani lakin siyo arsenal inacheza, aje tuangalie wote

    ReplyDelete
  4. kulingana na kuma yenyewe kama iko poa ntaikubali baadaye naritombaaaa baada ya kulipa hera ya shoping

    ReplyDelete

Top Post Ad