Mume Wangu Hanifikishi Kisawasawa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari wanajamvi,

Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli....yaani nikikutana nae...aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa....na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime.....! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa.

Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi...da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa....wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mm mwanamke huwa nahitaji...nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya:

1) Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi

2) Labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii pale "Dar es Salaam" kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga.

Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi morogoro......tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu....so na mm nitaanzia humuhumu Udaku Blog kutafuta kurusha nae roho.

Naomba mnisadies what to do at the moment!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. pole sn..bt b4 hujafanya hayo unapanga kufanya kaa naye muongee..umweleze yanayokucbu na mjue mtafanyaje...patrick kiddy

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyo ni malaya tu.Hakuna mke wa mtu anaweza vaa hivyo .Pili hakuna mwanamke mwenye uwezo na ujasiri wakuonesha picha yake hadharani akisema mumewe hamfikishi.amekosa soko la siri kaaba pori huyoo sasa anataka la hazarani.Weka namba yako hapa na yahuyo mumwewe.Pili nyie mnaomshauri wazungumzee hamuone ni kaaba kwanini asimwambie mumewe.Nyie wenyewe mnaona soo hamtaki majina yetu halali tuyajue.weke namba zetu huyo kaaba atawatafute anahamu ya kuliwa tigo.

      Delete
  2. kuampole siz,mamboyakienda kombo ktk ndoa nikuulizana tu kwa hikma,"mbona baba nanii shughuli imeshuka nini mbaya au utamu umeniishia,akijibu amechoka usimuache patupu mpe 'massage',yakimahaba hadi ataingiliana tu Automatic.

    omy frm Msa (kenia).

    ReplyDelete
  3. Kuwa mwanamke mwenye subra kaa nae kama kamati ongea nae kinaga ubaga.usiwaze kupga show za nje.Nina uhakika ww nae mtayamaliza kimya kimya.

    ReplyDelete
  4. Huu ni use....e hivi mabiti wa kisasa mnaona sifa kuanika maisha yenu ya ndoa mitandaoni bila aibu na kusema hufikishwi baada ya kutafuta watu wa ushauri nasaa, plz mnakera hembu mue mnaheshimu ndoa kwani ni kitu kitakatifu.





    Xxx.

    ReplyDelete
  5. Ongea nae kwa uwazi bl kuficha chochote itamzindua kutoka ucngizini

    ReplyDelete
  6. du pole san ila kwa kuw ww mwenyew watak kufikishwa bas tugee tukufikishe

    ReplyDelete
  7. kikubwa ni kukaa nae na kuzungumza nae kwa undani ku husiana na hilo koz kumsaliti sio jambo zuri!

    ReplyDelete
  8. Pole sana ww ukipiga show za nje! haumkomoi yeye bali utakongoroka si unajua show za nje hawajali coz hawana umuhim na ww wao watakacho ni mchezo tu!! Ucfanye hivyo kabisa!!

    ReplyDelete
  9. Ogopa sana wanaosema m-chart wakupe ushauri wengine wanatoa mail address na wengine namba.Wote hao wanataka mwisho wa siku lazima wanataku-do tu.OK coming to the matter behind, ni kweli stuation hii hipo lakini huwa ni love saikolojia tu mainly msongo wa mawazo etc. Kuna level za mapenzi na unyumba katika ndoa ambazo zote zikienda sambamba ur lucky.La msingi refer kwenye kiapo chako cha ndoa kwamba utampenda mwenzi wako katika maisha yenu yote iwe ktk ugonjwa,afya,raha na vitu kama hivyo.Ukifanya vinginevyo vijana waliokuomba m-chart na hizo number watakushughulika kisawa sawa kwani za kwao bado zina chaji ya kutosha

    ReplyDelete
  10. muulze kulikon then ndio uchukue maamuz mazito.

    ReplyDelete
  11. me nafikiri huyo dada nae ajichunguze,inawezekana baada ya kuishi kwny ndoa amemzoea mume na kujibweteka,so mume anakosa hamu ya mapenzi kwa mkewe.

    ReplyDelete
  12. Akishindwa basi tafuta usaidizi

    ReplyDelete
  13. Jaribu kukaa nae na umueleweshe asipoeleke anza kula vichwa tena mimi nitakua wakwanza kama unataka namba yangu 0755630430 nidip tu mimi nitapiga nitakua laha zote na kuhisi upo ulaya

    ReplyDelete
  14. call 0712 859808,, nitakupa ushaurii, mmh

    ReplyDelete
  15. Kikubwa kaen muongee afu jitahdi sana kuw mbunifu wa vi2 na km ulianza vzur endlea vivyo hvyo may be we ulipunguz baadh ya vi2 fulan pol sana km hatabadilik bas atakuw kaamu yey

    ReplyDelete
  16. nitafute tupige show kali mpaka utafulai

    ReplyDelete
  17. Wacha kutafuta kiki zakisenge .Weka namba tukutafute tukufikishe,mmbwa koko.Au mpe tigo.

    ReplyDelete
  18. anatak ushauri.Ushauri mwingine huwezi andika.arushe namba then atapata ushauri mzuri.baada ya hapo atarudiana na mumewe.

    ReplyDelete

Top Post Ad