Nampenda huyu dada,lakini ananikatisha tamaa!nifanyaje mie??

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Habari zenu wana Udakuz
Mie nimekuwa katika kutafuta mwenzi wa maisha muda mrefu,na kuna wakati nilikata tamaa baada ya kuwa kila ninayempa proposal yangu anadai yuko na mtu wake.
Sasa,wiki mbili zilizopita nimekutana na mdada ambaye kiukweli ninampenda sana kwani ana sifa zote nitakazo mie,kwa hiyo nikaanzisha mawasiliano naye na mwisho wa siku tukapanga kukutana ili nimweleze hitaji langu.Baada ya kumweleza yangu ya moyoni,alidai yeye hataki kusikia habari ya uhusiano wa kimapenzi kwa sasa kwani AMEACHANA NA MPENZI WAKE MWEZI JANUARY 2013 baada ya kuwa katika mahusiano tangu akiwa form one.Baada ya kusikia kuwa ameachika nilifurahi sana sababu nilijua hii ndo nafasi yangu,japo alisema hataki mapenzi tena labda urafiki wa kawaida tu,mi sikuona taabu nilimwambia nimpe muda afikirie kwanza ombi langu!!
Tangu wakati huo nimekuwa nikionesha ukaribu naye sana,ikiwemo kumjari na kumpa zawadi LAKINI Amekuwa akinambia NAPOTEZA MUDA WANGU TU,
SASA Wadau,naombeni mnishauri mwenzenu nifanye nini ili huyu dada awe wangu wa maisha?Nampenda kwa moyo wangu wote na nataka aje awe mama watoto wangu!NIFANYEJE JAMANI???
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Usilazimishe penzi mtu wangu

    ReplyDelete
  2. Ni vema ukawaone wazazi wake ili ajue usemacho unamaanisha! Pia pitia wa2 zake wakaribu waweze mweleza jambo lako! Kwa kumpa ushaur ulio bora!

    ReplyDelete
  3. Toa number utafutwe

    ReplyDelete
  4. Nahitaj mpenz wa kike jaman then baadae tufunge ndoa
    safa; uwe na umri usiozd miaka 24
    uwe mkristo, kabira sichagui
    uwe na mvuto bas na ucwe na mtoto wala kuwahi kuolewa
    Reply hapa au nchek kwa bentzjackson@hotmail.com au nitext tu kwa 0684047637 text zoe ztajbiwa

    ReplyDelete
  5. aisee polesana tenasana kwani hiikitu huumiza watu wengisana
    USHAULI jalibukuwa nae kwamdalefusana mflulizo jaliku kuchunguza ana penda nini
    anachukia nini kwamwana mke aliumizwa huitaji kuwanae kwamdamlefusa
    yani kushinda naemalakwamala ikipungua sana iwemiezi3 nakuendelea
    ZINGATIA kudanganya,kutoa ahadi ikachelewa ,kumpazawa kapesa haitakiwi ,kusimama namwanamke
    asiemjua kuanindugu yako .mengine njoo in box yandani zaid. nakutakiakilala hali umpate.

    ReplyDelete

Top Post Ad