Ridhiwani Kikwete Aweka Post Facebook Kuhoji Elimu ya John Mnyika

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

SUALA LA ELIMU YA BW, MNYIKA

Hivi juzi bwana Nape Nnauye alijitokeza hadharani akisema juu ya uhakika alionao kuhusiana na elimu ya bwana Mnyika (mb) kuwa ameishia form Six. nikaguna kidogo hasa nikiangalia mambo mengi sana.

Mie nimepata nafasi ya kukaa na Mnyika pale chuoni na nikaona hata uhodari wake katika kuchochea migogoro. ninamkumbuka katika sakata la Mikopo ya wanafunzi na jinsi alivyoshauri wanafunzi waandamane waende IKULU kwa miguu.

sasa swali au maswali ambayo sina jibu nayo ni kama haya

1. Nini kilitokea mNYIKA (MB) baada ya sisi kuondoka CHUONI? maana kumbukumbu zinaonyesha nilikuacha ukiendelea na masomo.

2. lini ulimaliza chuo pale mlimani?

3. unakumbuka habari ya Bw.Kihiyo wa jimbo la Temeke na ushuhuda wa ELIMU ambayo hakuwa nayo.

JITOKEZE HADHARANI TANABAISHA JUU YA UFAHAMU WAKO . MAANA WENGINE WAMEANZA SEMA ..................... NDIYO MAAANA KUMBE.!!!!!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahahaha sasa na huyo anayesoma KIU nae anaongea nn sasa??

    ReplyDelete
  2. Halafu iwe nini?! Kula bure kubayaa!

    ReplyDelete
  3. Ingekua inahojiwa elimu ya nape ungeona wajinga ambavyo wange changia na matusi juu sasa john ajibu.Inchi niyetu wote matajili ba maskini CCM na wapinzani msifikiri ccm haiba watu kidum chama cha mapinduzi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Matako ww!! Hoplss utamjua tu!!

      Delete
  4. Riziwani kasomea sheria kwa kudesa kwa sababu familia yake ilikuwa bize kumtuma madawa ya kulevya china kuja kuuza hapa bongo lakini lecturers wanampa maksi za bure, hapa ndo tutofautishe kusoma na kuudhulia chuo matokeo tunayaona mitaani kwenye utendaji wa mtu.

    ReplyDelete
  5. Huyo ridhiwani sijui hakuna kitu kabisaaaaa...atasomaje gongo la mboto bwana elimu ya pale magumashi halafi nae anaona anasooooma mamaEeeee....ngoja mshua wake achomoke madarakan atakua underground ka makongoro tu

    ReplyDelete

Top Post Ad