Huyu ndio Kijana wa Miaka 19 Aliyeshinda Udiwani Kenya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Anaitwa Kibiwota Munge ambae amekua Mkenya wa kwanza mwenye umri mdogo kushinda kiti cha Udiwani na kuwashinda wagombea wengine wote ambao wengine wanalingana na baba yake.

Baba mzazi anasema alianza kumnunulia Munge Magazeti akiwa darasa la nne.

Kwa mapenzi aliyonayo kwa siasa, Munge anasema kwenye bunge la 9 la Kenya alikua ana uwezo wa kutaja majina ya wabunge wote 222, yani anawajua wote kichwani, kwa taarifa zaidi unaweza kutazama hii video hapa chini…
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. chini ya matako yako au mbona sioni vdeo

    ReplyDelete
  2. Chini ipi boya wew!!? Ume copy kweny blog za watu na ku paste. Fuck uu

    ReplyDelete

Top Post Ad