AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Guys, nimeikuta hii picha Facebook nasikia huyu dada ni mbongo, na akili zake kabisa na yeye kajipiga picha eti anamfatisha Rihanna, bhaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!! mbona awaendani!! Shepu kushnehi, DHIWA Tanganyika mwee!! HATARI JAMAN,
guys, kugeza sio vibaya ila muangalie na miili yenu mkikaa uchi mnapendezaa!! hasa dah! hii picha mimi..
I'M SPEECHLESS KWAKWELI
We unaonaje kwani!??
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Huo mkono wa nn axa Mabint wa
ReplyDeletemiaka hii lo
Ushamba na ulimbuken una2sumbua wabongo
ReplyDeleteUmaruufu sio jambo la mchezo mwacheni na yeye ajaribu, labda hata huyo Rihana mwenyew alianzia hiv hiv tena yeye alikuwa akijipitisha mitaani uchi
ReplyDeleteHahahahha kwa kweli hata awakaribiani.....huyo dada ameji aibisha bure
ReplyDelete