Nawatakia Wakenya Wote Uchaguzi Mwema, Wenye Amani na wa Haki

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wakenya wanapiga kura katika uchaguzi mkuu leo 4 Machi,2013 kwa mara ya kwanza tangu kupitishwa kwa katiba mpya mwaka 2010.

Uchaguzi unajumuisha wagombea 1,882 kwa nafasi za kuchaguliwa, ambazo kama sijakosea ni nafasi moja ya urais, wabunge 290, maseneta 47, magavana wa majimbo 47, wawakilishi wanawake wa majimbo 47 na kata za uraia 1,450.

Nikiwa kama Mtanzania, ningependa kuchukua nafasi hii kuwatakia Wakenya wote kila la heri kwenye uchaguzi huu. Hii ni nafasi ya kila Mkenya kutumia haki yake ya kupiga kura. Ni matumani yangu kuwa Wakenya watafanya uchaguzi mwema, wa haki na amani.

All the best and save yourself. Vote.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad