Tanzania Yapaa Katika Viwango Fifa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tanzania imepanda kwa nafasi nane katika viwango vya  ubora vinavyotolewa na Shirikisho la Soka Duniani (Fifa) kutoka nafasi ya 127 waliyokuwepo mwezi uliopita mpaka  nafasi ya 119. Wakati Tanzania ikiwa nafasi ya 119 wapinzani wao katika kusaka tiketi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia 2014,  Morocco wenyewe wanakamata nafasi ya 77, na Ivory Coast (13) huku Gambia (144).

Mwezi uliopita pamoja na Taifa Stars kuichapa Cameroon 1-0, bado iliporomoka kwa nafasi tatu na kutoka 124 hadi 127. Nafasi ya juu zaidi iliyowahi kushika  Tanzania kwenye viwango hivyo ni 65 mwaka 1996.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad