Mwanaume Mzima Kukaa kwa Wazazi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari zenu wakuu!

Huwa kuna jambo linanichanganya kweli!unakuta kijana wa kiume amemaliza chuo kikuu,anafanya kazi kwa miaka kama mitatu hivi ila cha kushangaza bado anakaa kwa wazazi!kibaya zaidi wengine unakuta wanakaa kwa ndugu very comfortable!

Kinachonikera hawa vijana ndo wa kwanza kujishaua mjini hapa kwenye starehe!

Anyway labda mimi najudge vibaya ila wenzangu kijana kama huyu mnamchukulia kama mwanaume au mvulana?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwanaume tu kwan kukaa kwa wazazi huku unaset mambo yako fresh c shida ila usijisahau

    ReplyDelete
  2. mimi mama yangu hataki niondoke home ananiambia bado mdogo,ila nna degree,kazi yangu inatosha kuanzisha maisha ila ndo bi mkubwa kagoma mie nifanyeje?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe mtoto wa fisadi utakuwa

      Delete
  3. mimi mama yangu hataki niondoke home ananiambia bado mdogo,ila nna degree,kazi yangu inatosha kuanzisha maisha ila ndo bi mkubwa kagoma mie nifanyeje?

    ReplyDelete
  4. Wewe inakuhusu nini mambo yako umemaliza unahangaika na ya watu

    ReplyDelete
  5. Ni ubwege tu hamna kingine, ina maana hata unapotaka kujirusha na kimwana lazima ufanyia hapo nyumbani some time, sas huoni wazazi wako wadogo zako au dada zako wanaukuelewa vibaya hata kama umesoma vip.

    ReplyDelete
  6. Si vibaya kama wazazi ni wazee na wanahitaji msaada wako wa karibu kama kijana,kwani ukihama wataona kama watakosa msaada wa kaeibu,nimeshidia rafiki yangu akitaka kutoka kwa wazazi lkn wzz hawataki!

    ReplyDelete
  7. kodi shikamoo ndo imewalemaza

    ReplyDelete
  8. inategemea na mazingira ya nyumbani ambayo ni hali ya uchumi, umri wa wazazi pamoja afya yao kwa ujumla hivi ndivyo vigezo ambavyo vinasababisha kwa asilimia kubwa kijana kushindwa kutoka kwa wazazi wake.mbali na hayo basi uyo kijana ni mnyonyaji kwani wazazi wamemlea kwa kipindi chote hicho kwa hiyo kuendelea kuishi kwao ni mzigo ambao huyu kijana anawapa wazee wake.

    ReplyDelete
  9. Ni uboya xana kuzeekea hom.

    ReplyDelete

Top Post Ad