AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Wakuu Rais wa kenya Uhuru kenyata ameiponda serikali ya Tanzania kwa kuwa tegemezi kwa asilimia 40, ni mahojiano kati ya Dr Mwangi katika chuo cha KENYATA UNIVERSITY.
Je ni Kweli?
Nasubiri kuona kama Kurugenzi ya Mawasiliano na Habari, Ikulu watatoa tamko la kupinga au kukanusha.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
so kama ni kweli je kaisiriba au kaweka bayana?
ReplyDeleteKenyatta kweli?
ReplyDeleteHata kama ina mhusu nin kama sio unafki tu au nchi yao ndio inatupa misaada?, kama mim ni Kikwete nalichunia kiana siongei nalo
ReplyDeleteJamani ukweli unauma ila tuukubali sisi si wakutegemea msaada kwa 40% na kabajeti kenyewe mbuzi 8bil$..... ni aibu.
ReplyDelete