Beef la Mwana FA v/s Lady Jay Dee..!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hivi katika hali ya kawaida kabisa huyu jamaa mwana FA anatafuta nini kwa dada yetu Jide? Jide mara ya kwanza show yake alipanga may 31 na mwana FA naye kapanga tarehe hiyo hiyo,waungwana tukasema labda imetokea hivyo tu kwa bahati mbaya!! Kutokana na kifo cha Ngwea....tarehe ikapangwa upya!! Sasa Jide kapanga tarehe 14 June eti na jamaa naye kapanga tarehe hiyo hiyo!!! Ana matatizo gani huyu jamaa asee!!!!! kama anatumiwa basi anatumiwa vibaya sana na anachemka...mwanaume mzima unashindana na mwanamke!!!!! Arrrrghhhhhhhh

Source: Jamii Forums
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

25 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MSENGE HUYO JAMAA

    ReplyDelete
  2. choko huyo jamaa wanatumiwa sana na wasenge wezao clouds hivi mwanaume mzima unakuwa unawashwa matako nini?

    ReplyDelete
  3. Kwani ndio kwanza mnajua mwanaFA ni Mliberali? Jamani shoga mbona hajifichi? Angalia nyimbo zake, tembea yake, muonekano, mtoto laini kabisaaaaa!

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahahaaaa na c wa TANGA...wanasema TA nyumba mganga, nyumba shoga g
      hahahaaaaa

      Delete
  4. Lazima ukubali ushindani maduka yako mamngapi kariakoo mbona hakuna anyefynda kumpisha mwenzie auzee acheni mambo ya kiswazi Big UP Mwana FA that is business.

    ReplyDelete
  5. Am _jidez fan, lakini kwa hii tar 14 aliyeanza kutangaza ni Mwana FA jaman

    ReplyDelete
  6. Jamani mnyonge mnyongeni lakini......., Mwana FA ndiye alikuwa Wa kwanza kutangaza na ndipo JD kafuatia hiyo tar 14, tukubali tukatae JD na FA wote kimuziki wamekwishaaaaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hayo unasema ww! joto la hasira!

      Delete
  7. big up mwanafa chakwanza yeye ndo wakwanza kutangaza pili tiketi zake zote zimeisha sasa tatizo likowapi wakifanya cku moja?mbona mtaa mmoja unamaduka ya aina moja zaidi ya 6,kumbuka ridhiki mafungu 7,kumbuka jide anawapenzi wake na fa anawapenzi wake sawa na taarabu na mziki wa dance wote wanawapenz wao,

    ReplyDelete
  8. Kila mmoja ana mashabiki wake. Ni mabasi mangapi yanatoka Dar kwenda Mbeya kila siku na hawana zamu. Waacheni wapige show msitake ugomvi usio na maana.

    ReplyDelete
  9. kama mbwai mbwai tu,tukae nje ya ulingo tuone nani bingwa

    ReplyDelete
  10. Don b so stupid u Guy,..BINAMU yuko juu cku zote, hata huku Kenya wanamfagilia mwana FA. Jide amechoka aende akafuge watoto...nkt "SHENZ TYPE"

    ReplyDelete
  11. ujue jamaa amesoma lkini elimu yake anaitumia vibaya...hlfu baada ya cku kazaa utasikia wanalilia haki zao wakati wanaowaibia au wanaowazurumu wanawajua

    ReplyDelete
  12. Tatizo anagawa sana TIGO mpaka akili zake zimeamia nyuma,kufilwa aflwe RUGE yeye matako yanamuwasha jamani mpeni anyonye hiyo kitu

    ReplyDelete
  13. all at all huyo mwana fatuma hana jpya......anafanya retardation motion.......mzk wake sasa hauna mvuto.....

    ReplyDelete
  14. Wapenzi wa Mwana FA waende kwake na Wapenzi wa Jide waende kwake..what is the problem..BOMBOKLAT.

    ReplyDelete
  15. Honestly nilifikiri Mwana fa ni Sensible person sababu kila ktk interview zake anaongea haki za wasanii..but this way bro nimekutoa maana and this is not how suppose to be inabidi wasanii muwe kitu kimoja na si mnapingana sasa ata hizo haki zenu mtazipata vipi wakati miongoni mwenu ni SNITCH,Mtapelekwa kwa manufaa yao na mtabakia hivyo hivyo kupiga kelele ktk microphone..NOSENSE.

    ReplyDelete
  16. Mwana fatuma?

    ReplyDelete
  17. Nyie mnawadiscus watu Wenzenu hawana mda huo wanasaka noti tu.... Kwan wakifanya show pamoja inakuuma nn? Au Gadner anawabong'oleshaga? Don b stupid guys

    ReplyDelete
  18. dah iyo imetokea 2,kwan tatizo liko wapi kila m2 aende anapo papenda.Tumeelewa humu ndani jaman na vizur kutukanana na pia sio mila ya mtanzania kutukanana,sasa umefaidika na nin.ACHENI HIZOOOOOOOO?!... SHOGA lazma amjue Shoga mwenzie

    ReplyDelete
  19. big up to you brother kwanza unajitambua na unajua,hayo mengine tupa kule fanya yako kaka tuko pamoja sana hayo manyoka achana nayo yanatafuta kiki.

    ReplyDelete
  20. wa kwanza kutangaza shoo ni FA japo mnamuita fatuma ukwel utabak palepale kuwa n FA na c vnginevyo,dada jipange kivngine co unatafuta kiki kinguvu,huna cha uanakonda wala chatu umevurugwa wewe c bure,JIPANGE.

    ReplyDelete
  21. Sielewi tatizo liko wapi kwa FA, Fans wako kibao tu let them choose where to go. uoga wa nn kwenye fani? Kama uko vizuri komaa piga mzigo woga weka pembeni.Nilitegemea na mwingine apange tena siku hiyo hiyo itakua poa sana

    ReplyDelete
  22. uyuuu ajaaaamaa KUMMMMMMMA kweli,tena ila bonge la fATUUUMA.

    ReplyDelete

Top Post Ad