AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Aliyekua mmoja wa wawakilishi wa Kenya katika BBA The Chase, mrembo
Huddah Monroe (The Boss Lady) anatua Dar es Salaam, Tanzania ku-host
party ya “Mid Year Bash” siku ya jumamosi tarehe 29/june/2013. BASH hilo
litafanyika ndani ya ELEMENTS LOUNGE, na limedhaminiwa na Unity
Entertainmen, Heinneken, na Vocacom.....Watu wengi wanajiuliza itakuwaje pale watakapo kutana na Diva loveness ambae wamekuwa na beef kwenye mitandao wakimgombea Prezzooo...Aka the boy is Mine
----
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK