Vitendo vya Ushoga vyazidi Kuongezeka Bongo Hawa Tena Washikwa Gesti Wakibanjuana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Tukio hilo lililoshuhudiwa na watu kibao, lilijiri Juni 10, mwaka huu katika nyumba moja ya kulala wageni iliyopo Kinondoni jijini Dar.
Kunaswa kwa wanaume hao ambao ilidaiwa walikuwa kwenye harakati za kufanya Usodoma na Ugomora, kulifuatia mke wa mmoja wao kunasa meseji za kimapenzi walizokuwa wakitumiana wawili hao.

Mama huyo alipobaini meseji hizo chafu, wawili hao wakisisitiziana kukutana kwenye gesti hiyo usiku wa siku hiyo, alimpigia simu mmoja wa waandishi na  kumpa  mkasa  mzima ambapo  walikubaliana  saa  moja  zoezi  la  kuwanasa  litaanza..

Ilipofika saa 1:30 usiku, timu yetu, mama huyo, wapambe wake na polisi walikuwa wanafanya doria nje ya gesti hiyo.


Saa 5:30 usiku, mume wa mwanamke huyo akiwa na mwanaume anayedaiwa kuwa shoga walifika gesti hiyo bila kujua kama waliwekewa mtego wa kunaswa na kwenda kuchukua chumba namba 2.
 Wakiwa ndani, mke alimpigia simu mumewe na kuhoji alipokuwa akajibiwa alikuwa mitaa ya nyumbani kwao Manseze, Dar akipiga stori na rafiki zake.

Wawili hao wakiwa wanajiandaa na mchezo wao usiofaa, polisi aligonga mlango akijifanya mhudumu aliyetaka kumpatia taulo, jamaa bila kujua alifungua ndipo walipofumaniwa na kuibua varangati zito.

Kufuatia timbwili hilo, waliwekwa chini ya ulinzi na kutolewa pale gesti tayari kupelekwa kituoni ndipo mwanaume anayedaiwa kuwa shoga akatimua mbio mithili ya mwanariadha wa kimataifa, Usain Bolt wa Jamaika na wanandoa hao waliendelea kuzozana huku mke akimlalamikia mumewe na kumwambia wakifika nyumbani ampe talaka yake.


Hata hivyo, mwanamke huyo aliomba sakata hilo lisipelekwe polisi kwa madai alichotaka ni kumfumania mumewe na kwamba alikuwa na ushahidi wote.

GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
 1. wanawake wa siku hizi akili hamna kabisa sas unaita waandishi ili kuadhiri mzazi mwenzio jinaga kabisaaaaaaaa!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 2. Ushoga ni kitu kibaya sana huyo dada anastahili kumuumbua kwa namna yoyote ile, mi naona wala hajakosea kuita waandishi

  ReplyDelete
 3. Jamani acheni tigo tamu bhana,ambaye hajawai kula hawezijua utamu wake ile kitu ina raha yake

  ReplyDelete
 4. hehe
  chezea mkundu wa mwanaume tena mnato lazma ulale hoi.kitu tyt afu kinajoto

  ReplyDelete
 5. Watafahamiana mtu na mkewe?

  ReplyDelete
 6. laiti mngejua uzito wa dhambi ya kula tgo czan kama mngecfia huo ujinga..waliangamizwa waliokuwa kabla yenu coz ya hiz mambo

  ReplyDelete
 7. Hao wanao sifu uchafu wa kunuka! Wanalaana ya mola.ukimwi ulietwa na mambo hayo.kwa hivo adhabu ya mola haiko mbali.mumezidi.mungu atawaangamiza kila mwenye kufanya uchafu huo.

  ReplyDelete
 8. whaooooooooooo watu hawatosheki mpaka inya hahahahahaaaaaa

  ReplyDelete
 9. tigo tamu asikwambie mtu jaribu utaona!

  ReplyDelete
 10. tigo tamu asikwambie mtu jaribu utaona!

  ReplyDelete
 11. duh............hyo ni laana

  ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad