AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Ametahadhalisha kuwa wageni waanze kuondoka wenyewe na kurudi nchini kwao, "tutawasaka majumbani kwao, misituni, walikochimbia silaha zao na risasi" - TAYARI NIMESHAWASILIANA NA VIKOSI VYOTE VYA ULINZI"
Source:Chanel Ten.
My take:
Majambazi wasakwe kote nchini kwa mwendo huuhuu. NAUNGA MKONO HOJA!
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Wasisahaulike wenye tindikali pia.
ReplyDeleteNa hata dar jamani
ReplyDeletehuo ndio mpango angekua anafanyaga maamuzi haya kila wakati hakika nchi ingekua mbali
ReplyDeleteAmani milele, mungu ibariki Tanzania
ReplyDeleteBw.mheshimiwai nakupongeza kama kweli umemaanisha hili swala na hii ndio nija itakufanya uwe juu siku zote sababu unatetea raia wako na ushindani wa vyama vya siasa.
ReplyDelete