AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Akizungumza na MTANZANIA jana, Kamanda wa Polisi Mkoa (RPC) wa Kinondoni, Camilius Wambura, alisema polisi wanaendelea na upelelezi wa tukio hilo.
“Jamani mambo mengine ni ya ndani ya polisi na si vema tukayatoa hadharani, tulieni jamani, upelelezi ukikamilika tutawaita na kutoa taarifa,” alisema Kamanda Wambura.
Saad alimwagiwa tindikali hivi karibuni maeneo ya Msasani City Mall, jijini Dar es Salaam na mtu asiyejulikana.
Baada ya tukio hilo, mtu huyo ambaye hadi sasa hajakamatwa, alikimbia na kutokomea kusikojulikana.
Taarifa za kipolisi zilieleza kwamba, Saad alimwagiwa tindikali akiwa anazungumza na mfanyakazi wa duka lake lililopo kwenye Jengo la Msasani City Mall.
Tukio la kumwagiwa tindikali mfanyabiashara huyo, limekuja ikiwa ni wiki mbili tangu Sheikh Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, mkoani Arusha, Said Juma Makamba, ajeruhiwe vibaya usoni kwa kumwagiwa majimaji yanayosadikiwa kuwa ni tindikali.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Rais wetu kwa kuona wagonjwa na kwenda misibani 2 hajambo.
ReplyDeleteNdio kipaji alichojaaliwa na mwenyezi Mungu. Unataka aende disko au ashinde baaa?
ReplyDeleteNdio kipaji alichojaaliwa na mwenyezi Mungu. Unataka aende disko au ashinde baaa?
ReplyDeletehahahaa watanzania kwa vichekesho na kudatana wallahi munanibamba! duh karibuni naona nikija kuishi huko!
ReplyDeleteHahahahahahahahaha yeah ana kipaji mithili ya Messi kwa football.
ReplyDelete