PICHA: HENRY KILEWO ALIPOINGIA DAR ES SALAAM KUELEKEA NYUMBANI KWA FAMILIA YAKE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

M4C ikiingia Dar kutokea Tabora kupitia Igunga...
Pella Ngunangwa dereva makini wa CHADEMA (papaa Pella mutu ya watu imechoka sana jicho nyanya) kaendesha usiku kucha jumlisha jana yake tulikuwa na pilikapilika za kuhakikisha watu wetu wanapelekwa Igunga
Hellen Baja, mfanyakazi mwenzangu alikuja kutupokea maeneo ya Mbezi
Papaa Pella na Wakili msomi PK, tumeingia Dar 
Booooooom. tukafika nyumbani....
Naomba uweke maneno kwenye hizi picha maana?? Noma...
Oh My God...
I dont Believe ...
Thank you God. you are so wonderful
Welcome back sweet heart
Kila mtu anataka kum'beba baba Lincon
Ngoja niwaone wanangu..
Hongera sana Wakili msomi PK, wewe ni noumaaaaaaaaaa
Karibu mume wangu, watoto wako hawa hapa
KILEWO: Oh God, asante kwa kuitunza familia yangu 
Wakili msomi PK: Watoto wazuri nimewaletea baba yenu kama nilivyomwahidi mama yenu na watanzania na wapenda haki
weka maneno 
Wakili: Ni faraja sana kwangu ninapoona Mungu ameniongoza kuleta furaha tena kwenye familia kama hivi
Oh my God, we are so much Happy
My chif cameraman Prospa Njau na Wakili Msomi PK
Final i have my kids, niliwamiss sana wanangu , namshukuru sana Mungu kwa kusimamia Haki
Tumaini Makene afisa habari wa CHADEMA akiwa na mfanyakazi mwenzangu Hellen Baja
Namshukuru Mungu kwa watoto hawa wazuri pamoja na mama yao ambae alijitahidi sana kuangalia familia nilipokuwa Jela
Baada ya mapokezi, Hellen akafanya jambo moja kubwa sana ambalo lilifanyika jioni... naona kaamua kupiga Pipooooooooz.... pawaaaaaaaaaaaa... any way nitakuwekea picha za jioni endelea ku visit

Source:Joyce Kiria
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyumba yenyewe wamefulia kwelikweli .nyumba kama ya houseboy wetu .Wanefulia kumbe

    ReplyDelete
    Replies
    1. kama mwanamke we kahaba,,kama.mwanume.unaliwa tigo,,et nyumba kama ya house boy wenu,,angekuwa na nyumba kama hiyo angekuwa anafanyaje kwenu?? nawasiwasi we ndio hiusegeli pumbavu

      Delete
    2. Kuma la mama ako we unayesema eti NYUMBA Kama ya house boy wenu.msenge unafirwa.

      Delete
  2. Wewe nawe ni fala hapo juu,,hiyo ndo nyumba yake mwenyewe n he z happy..houseboy wenu anatusaidia nin hapa?

    ReplyDelete
  3. Watu wengine bwana,hovyoo,wewe uliwai kujenga wapi,umekalisha mnelo kwa baba yako,fala tu,hata ingekuwa ya majani,si yao,we inakuhusu nini,stupid

    ReplyDelete
  4. nyie wote pimbi weken zenu tuone

    ReplyDelete
  5. nyie wote pimbi weken zenu tuone

    ReplyDelete

Top Post Ad