BAR ZINAZO ONGOZA KWA WATEJA WENGI HAPA DAR ES SALAAM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kuna habari nimekutana leo katika kuperooz hizi ndio bar zinazoongoza kuwa na wateja wengi vijana na wazee kuliko zingine hapa Jiji la maraha Dar 

1.corner bar...hii bar ipo sinza ndiyo bar inayoongoza kuwa na wateja wengi...kuanzia vijana 

2.jolly bar...hii ipo upanga amabayo watu wengi wenye pesa 

3.bamboo bar..hii bar ipo kinondoni makaburini......

4.sewa bar....hii bar ipo buguruni sokoni..ambayo hufunguliwa kuanzia saa moja asubuhi....

5.kisuma bar.....hii ipo temeke mwembeyanga.....

6.kimboka bar....hii ipo buguruni chama......

6.rose garden.....hii ipo mikocheni.....

8.sugar ray.....hii ipo temeke kwa sokota.....

9.lambo bar.....ipo manzese chama.....

10.ddc bar....hii ipo kariakoo mtaa wa kongo


swali jee nini kinafanya bar hizi kuwa na mvuto wa wateja wengi....

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Umesahau meeda bar sinza

    ReplyDelete
  2. Pia umesahau calabash bar ya savei,,,na catalunya bar ya sinza

    ReplyDelete
  3. mvuto wao nikwamba mabaamedi wanamikundu mikubwa ht wakitongozwa hawakatai

    ReplyDelete
  4. mvuto wao nikwamba mabaamedi wanamikundu mikubwa ht wakitongozwa hawakatai

    ReplyDelete
  5. Top garage bar mbezi beach. kwa god bar bahari beach.latemba bar.jambo lee bar kawe

    ReplyDelete
  6. COMENT YA 2 HAPO JUU WE MKALI, KWA VIPIMO VYA KUTAMBUA UKUBWA WA MIK.............................niite ORUJONJOMOGO.

    ReplyDelete

Top Post Ad