JE NI KWELI CLOUDS TV WANA COPY VIPINDI KUTOKA EATV?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ubunifu ni kitu pekee kinachoweza kuitofautisha brand moja hadi nyingine/kampuni nyingine ambazo/yo inatoa huduma zinazolingana/fanana.

Nirudi kwenye topic,sina shaka na uwezo wa clouds media Group katika ubunifu na mambo mengine linapokuja suala la burudani hapa Tanzania, ila kwa hili niseme Clouds TV wamekosa ubunifu na walichoishia kufanya ni kukopy na kupaste vipindi vyao kutoka TV stations nyingine mfano EATV.Vifuatavyo ni baadhi ya vipindi ambavyo Clouds TV wamekopy na kupaste kutoka EATV....

1.Siz kitaa- City sound (kilichokuwa kikiendeshwa na Seki)

2.Take One-Bongo movie (kilichokuwa kinaendeshwa na Joyce Kiria).

3.Ongea na Janeth-The Mboni show (kinachoendeshwa na Mboni)

4.Wazee wa Madebe-Friday Night Live(kinachoendeshwa na Sam Misago).

5.kipindi cha Paradise cha Irene uwoya nayo ni programu ambayo inendeshwa na TV stesheni nyingi za nje katika mtindo wa documentary,lakini kipindi hiko kinafanana kabisa na kipindi ambacho hufanywa huko Nigeria na moja ya TV stesheni,so sio kitu kipya pia.


Mdau unaweza kuongeza vipindi unavyovijua ambavyo jamaa wamecopy ila si kwa nia mbaya.

Source:Jamii Forums

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. skonga pia jamaa wamekopi eatv ktk kipindi chao cha student coner .


    ReplyDelete
  2. Wana ujanja wa kuongea maneno mengiiiiiii......Ubunifu ziro,lakini sishangai watanzania tunaongoza kwa kukopi,tujifunzeni kutengeneza vyetu wenyewe,nasema tunaongoza kwa kukopi kwa sababu mengi yanaonekana mfano,muziki tunakopi,filam tunakopi uvaaji wa mavazi tunakop,mpira tunakop,lakini pamoja na kukopi bado hatusongi mbele,kweli hili ni janga kwa nchi tuwe wabunifu jamani.

    ReplyDelete
  3. ila km cielew hv mboni show na janeth mbn kama ilitangulia janeth show jaman

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nani kasema mboni meiosis ya kwanza

      Delete
  4. ww mboni show ya rong kuliko ya janet nanikweli ukicheki kipindi cha mussa hoseni na cha uswazi cha zembwela vinafanana ukicheki kipindi cha wikiend chat show na cha friday night live utagundua clouds wamewaiga eatv

    ReplyDelete
  5. Hawa clouds no VILAZA wa kufa mtu. I feel sorry for them

    ReplyDelete
  6. Kuna tatizo kwani?

    ReplyDelete
  7. Mbona hao kina Mboni na Janeth nao wamecopy kwa kina Oprah,Tyra Banks bado kucopy kwa Mzee Jerry Spring show, in short wote wanaiba Idea za watu wanabadili style tu

    ReplyDelete
  8. Mnashangaa nini wakati watangazaji ndiyo haohao, wanatoka huku wanaenda huku?

    ReplyDelete
  9. Copying s not gud,t shows yo weak

    ReplyDelete
  10. Basi kauuuuuuuuusha!
    Amaaaaa!

    ReplyDelete
  11. duh pamoja na kucopy si wanawakimbiza mbaya clous wapo juu mtabak kudiss usenge tu wote wamekopy mton sema eatv wamezidiwa swaga joh

    ReplyDelete
  12. Ni kwel wanacopy kla k2! Had 5sport wanaita spot bar

    ReplyDelete
  13. Wte wazushi hamna jipya

    ReplyDelete
  14. ni kwel bana lakin tunacopy toka nje

    ReplyDelete

Top Post Ad