AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Nirudi kwenye topic,sina shaka na uwezo wa clouds media Group katika ubunifu na mambo mengine linapokuja suala la burudani hapa Tanzania, ila kwa hili niseme Clouds TV wamekosa ubunifu na walichoishia kufanya ni kukopy na kupaste vipindi vyao kutoka TV stations nyingine mfano EATV.Vifuatavyo ni baadhi ya vipindi ambavyo Clouds TV wamekopy na kupaste kutoka EATV....
1.Siz kitaa- City sound (kilichokuwa kikiendeshwa na Seki)
2.Take One-Bongo movie (kilichokuwa kinaendeshwa na Joyce Kiria).
3.Ongea na Janeth-The Mboni show (kinachoendeshwa na Mboni)
4.Wazee wa Madebe-Friday Night Live(kinachoendeshwa na Sam Misago).
5.kipindi cha Paradise cha Irene uwoya nayo ni programu ambayo inendeshwa na TV stesheni nyingi za nje katika mtindo wa documentary,lakini kipindi hiko kinafanana kabisa na kipindi ambacho hufanywa huko Nigeria na moja ya TV stesheni,so sio kitu kipya pia.
Mdau unaweza kuongeza vipindi unavyovijua ambavyo jamaa wamecopy ila si kwa nia mbaya.
Source:Jamii Forums
Udaku Specially Blog
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
skonga pia jamaa wamekopi eatv ktk kipindi chao cha student coner .
ReplyDeleteWana ujanja wa kuongea maneno mengiiiiiii......Ubunifu ziro,lakini sishangai watanzania tunaongoza kwa kukopi,tujifunzeni kutengeneza vyetu wenyewe,nasema tunaongoza kwa kukopi kwa sababu mengi yanaonekana mfano,muziki tunakopi,filam tunakopi uvaaji wa mavazi tunakop,mpira tunakop,lakini pamoja na kukopi bado hatusongi mbele,kweli hili ni janga kwa nchi tuwe wabunifu jamani.
ReplyDeleteila km cielew hv mboni show na janeth mbn kama ilitangulia janeth show jaman
ReplyDeleteNani kasema mboni meiosis ya kwanza
Deleteww mboni show ya rong kuliko ya janet nanikweli ukicheki kipindi cha mussa hoseni na cha uswazi cha zembwela vinafanana ukicheki kipindi cha wikiend chat show na cha friday night live utagundua clouds wamewaiga eatv
ReplyDeleteHawa clouds no VILAZA wa kufa mtu. I feel sorry for them
ReplyDeleteKuna tatizo kwani?
ReplyDeleteMbona hao kina Mboni na Janeth nao wamecopy kwa kina Oprah,Tyra Banks bado kucopy kwa Mzee Jerry Spring show, in short wote wanaiba Idea za watu wanabadili style tu
ReplyDeleteMnashangaa nini wakati watangazaji ndiyo haohao, wanatoka huku wanaenda huku?
ReplyDeleteCopying s not gud,t shows yo weak
ReplyDeleteBasi kauuuuuuuuusha!
ReplyDeleteAmaaaaa!
duh pamoja na kucopy si wanawakimbiza mbaya clous wapo juu mtabak kudiss usenge tu wote wamekopy mton sema eatv wamezidiwa swaga joh
ReplyDeleteNi kwel wanacopy kla k2! Had 5sport wanaita spot bar
ReplyDeleteWte wazushi hamna jipya
ReplyDeleteni kwel bana lakin tunacopy toka nje
ReplyDelete