KUMBE MSHAHARA WA RAIS WA TANZANIA SI KITU ONA MARAIS WENGINE WANAVYOLIPWA-KUFURU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rais wa Marekani analipwa Dola 400,000 (Sh 640 milioni) kwa mwaka, sawa na Sh 53.3 milioni kwa mwezi. 

Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma analipwa Randi 2 ,917 038 sawa na zaidi ya Sh400 milioni za Kitanzania kwa mwaka, 

Rais wa Ufaransa, Francois Hollande Sh475 milioni, 

Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron Sh338 milioni, 

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya Sh277 milioni na Rais wa Namibia, 

Hifikepunye Pohamba Sh226 milioni kwa mwaka. 

Wengine na malipo wanayopata kwa mwaka ni Marais wa Urusi, Vladimir Putin, Sh174 milioni, 

Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia Sh137 milioni,

Michael Satta wa Zambia, Sh126 milioni, 

Rais wa Angola, Jose dos Santos Sh91 milioni, 

Rais wa Lesotho, Profesa Pakalitha Mosisili Sh88 milioni, 

Armando Guebuza wa Msumbiji, Sh84 milioni na 

Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping Sh60 milioni. 

Wengine ni Rais wa India, Pranab Mukherjee Sh49 milioni, 

Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe Sh27 milioni,

Naibu Rais wa Afrika Kusini, Kgalema Mothlanthe Sh331 milioni, Waziri Mkuu wa Namibia, Nahas Angula Sh160 milioni.


Ok kumbe Mshahara wa Rais wa bongo bado ni mdogo sana kulinganisha na mishahara ya Marais wenzake hapa Africa na Duniani, Mheshimiwa Zitto my hero kwenye hili hakumtendea haki Rais wetu alipotoa hadharani Mshahara wa Rais wetu ambayo nia na madhumuni yake ilikuwa kuonyesha kwamba analipwa mahela mengi sana, alitakiwa kutuonyesha pia na mishahara ya Marais wengine na vipato vya Taifa pia, kwa sababu as a nation tuna pato kubwa sana kuliko nchi nyingi zingine ambazo Marais wao wanalipwa mahela ya ajabu kulinganisha na Rais wa bongo.


- Piwa ifahamike wazi kwamba hata leo Rais wa Jamhuri akitokea Chadema, bado mshahara wake utakuwa ni huo huo unless akigoma na kutaka upunguzwe, kitu ambacho historia ya chama hicho na Mishahara au posho za Taifa haiko kabisa upande wao, kuna wakati walidai posho ya wabunge ni kubwa sana lakini mpaka leo hatujasikia wakiomba kupunguziwa, walilalamika kuhusu hela za magari ya wabunge lakini mpaka leo hawajagomea kupokea hela hizo, Mwenyekiti wao alilalamikia magari ya kifahari ya wabunge na yeye mpaka leo anatumia gari hilo hilo alilolalamikia!
-Wiliam Malecela


Udaku Specially Blog
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acha umbea wewe. Chadema wanakuhusu nini?

    ReplyDelete
  2. Yaani wewe unataka kuonyesha ya kwamba mshahara wa rais wako bado mdogo kwa hiyo uongezwe!!!
    Matahira ni wengi Tz kwa kweli!Mtanzania wa kawaida anakula kwa shida,mwalimu anateseka na huku akitowa elimu kwa wanenu alafu nyie mwashangilia na kufurahia
    Ujinga huyo.Rais anakula bure,analala bure,,,mapesa yote hayo ya ninî?

    ReplyDelete
  3. Magari ya Wabunge ni misaada hawanunui

    ReplyDelete
  4. Huwezi kulinganisha mshahara wa obama na wa kikwete. Hizi ni nchi mbili tofauti zenye mapato tofauti. Kuweni makini!!

    ReplyDelete
  5. Alipost hii ni matako ana umasikin wa upeo!.we mapato ya rais wa tanzania yanaendana na wazir mkuu wa uingereza afu unaongea kama chiz!

    ReplyDelete
  6. wengi mnatumiwa na mafisadi ndomana unasema mshahara mdogo unafananisha marekani na tz ww kweli mbulula rudi darasani ukaanze upya

    ReplyDelete
  7. wengi mnatumiwa na mafisadi ndomana unasema mshahara mdogo unafananisha marekani na tz ww kweli mbulula rudi darasani ukaanze upya

    ReplyDelete
  8. Hahaaaah.....! Me nashangaa sana pale mnavolinganisha mishahara y nchi zilizoendelea n zinazoendelea,kw nchi zinazoendelea ht km rais akipewa million 1,000 kw mwaka anajua anavyoitendea haki nchi yake kw kuzidisha maendeleo.., je,mtalinganishaje n nchi maskin km Tanzania ambayo bado inategemea misaada kw nchi endelevu n ambapo hata hiyo misaada ikipatikana inaishia kwny matumbo y hawa marais mafisa....! Mshahara w rais n mkubwa kulingana n mapato&maendeleo y nci yenyewe. Ko msiwa mnapost ovyo bhana coz mtaumiza watu..!

    ReplyDelete
  9. Pumba tupu unafananisha kifo na usingizi, rahisi wenu wanalipwa hela hizo na wizi juu,mburula kabisa ulioandika hiyo topic.Ccm utawajua tu.

    ReplyDelete
  10. huwezi linganisha uchumi wa ufaransa, china na Tanzania, bongo maisha yako chini sana

    ReplyDelete
  11. Wewe uliopost una matatizo sana.

    ReplyDelete
  12. Unaposema Tanzania ina pato kubwa uwe unaangalia na maisha mtanzania mwenyewe cio,unasema pato kubwa na rais aongezewe mshahara kumbe kuna watanzania wanakufa na njaa

    ReplyDelete
  13. sasa unafanisha na mshahara wa Rais wa South, Uk, sijui Marekani mara Kenya kwa uchumi wetu na wao unafanana???then vipi wao wana Dhahabu, Gesi, Tanzanite na Almasi kama sisi ambao tumeshindwa kuitumia?ama wana bahari,maziwa na utajiri kibao tulionao Tanzania???haingii akilini milioni 34 kwa mwezi na huduma zote muhimu anapewa.....Afya, chakula na malazi hapo achana na posho za safari za ndani na njee!!!??kuweni makini tetea nchi na si Chama!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  14. wewe uliyepost unamatatizo kweli, umetumwa nini, sasa kama obama anapata 600m kwa nchi kama Marekani halafu Tz rais 360m hivi huoni hakuna uwiano hapo,nchi kubwa kama US inamlipa hivyo ka nchi kama TZ isyokua na uchumi wa kueleweka kweli unaona ni sahihi hicho kiasi?. unatumiwa wewe.

    ReplyDelete
  15. Okay! matusi hayajengi. Toeni maoni yenye jibu mbadala. Rais alipwe kiasi gani na kwanini?
    Kama wabunge WOTE! wanalipwa 11mil kwa mwezi, Mkuu wa kambi ya upinzani analipwa mil 11 + mi 5 za kiti chake, Spika alipwe ngapi? mawaziri walipwe ngapi? Waziri Mkuu alipwe ngapi? mwisho Rais. Alipwe ngapi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. WABONGO NI WALALAMISHI NA WAMETAWALIWA NA KASHFA KEJELI. BADALA YA KUCHAMBUA HOJA WANAMSHAMBULIA MTU. HAISHANGAZI THATS THEIR LEVEL OF ANALSYSIS..... THEY ARE NOT ASSERTIVE.

      Delete
  16. Kikwete anapokea mil 36 kwa mwezi kwa mwaka piga hesabu inakuja kama milioni muatatu karibu kidogo ifike milioni 400 sasa we waropoka nin bwashee?...Tunda la msimu

    ReplyDelete
  17. Kwel tanzania bdo tumelala kabsa,zito yko cai kutaja mpunga analipwa hyo mzee wa totozi

    ReplyDelete
  18. Alitakiwa alipwe kama Rais wa Kenya kwasababu mi sioni utajiri tulionao wa kumlipa Rais kiasi hicho chOte cha fedha, kama nchi kama Kenya iko juu kiuchumi kuliko Tz, na wanamlipa Rais wao kiasi kidogo cha fedha so tulitakiwa tufanye hivyo hivyo

    ReplyDelete
  19. utafananishaje uchumi wa hapa na wa mbele..2mia akili ukipost

    ReplyDelete

Top Post Ad