TANZANIA YAANZA VIBAYA MASHINDANO YA TUSKER PROJECT FAME

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tanzania leo imeanza vibaya kwenye shindano la Tusker Project Fame msimu wa sita, baada ya washiriki wawili wanaoiwakilisha kutoka.

Washiriki hao ni Durbat na Tanah ambao wameungana na mshiriki wa Rwanda, Peace kuyaaga mashindano hayo. Kutokana na kuondolewa kwa washiriki hao, Tanzania imebakiza washiriki wawili tu kwenye shindano hilo.

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Siku zote Tanzanian wanaonewa,me hata nipewe nafasi niende huko yakupiga makofi tu sitaki. Wakenya wanaupendeleooooo

    ReplyDelete
  2. Wanaupendeleo wapii wakati mwaka jana tulishinda ts all about working hard

    ReplyDelete
  3. Tanzania inajulikana ni KICHWA CHA MWENDAWAZIMU so sishangai hata kidogo.

    ReplyDelete
  4. Afu wew mwendawazimu nani kuma wew,Wakenya wanaupendeleo ndio kwani cri

    ReplyDelete
  5. Camilius camoligado14 October 2013 at 23:54

    Kichwa cha mwendawazim ni wewe peke yako mdau

    ReplyDelete
  6. Dah,, mwanzo mbaya, wakenya wapo sita mlendan wa tz wametoka wawili

    ReplyDelete

Top Post Ad