AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mbio za hisani za Rotary Dar Marathon ni moja kati ya shughuli za uchangishaji fedha zenye mafanikio makubwa zaidi nchini. Mbio za mwaka 2011 na 2012 zilichangisha zaidi ya dola za kimarekani 840,000 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa na ujenzi wa wodi ya wagonjwa wa saratani kwa watoto katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili iliyopo jijini Dar es Salaam. Wodi hiyo ni ya kwanza kwa ubora kusini mwa Jangwa la Sahara. Tanzania ni mimi na wewe katika kuijenga Tanzania yetu. Mchango wako utawezesha kutimiza lengo la ujenzi wa maktaba ya kisasa. Kwa maelezo zaidi au kujisajili, tafadhali tembelea tovuti ya Rotary Dar Marathon
www.rotarydarmarathon.com.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK