UKIPEWA MSAADA WA KUBEBWA MGONGONI USIMTEKENYE ALIYEKUBEBA......

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ukipewa Msaada wa kubebwa mgongoni,usianze machejo ya kumtekenya aliyekubeba,atakuangusha bure..
Hii ni kwa wale WANAUME wasio na Shukrani..Unajijua kabisa huna Mvuto na Sura yako haina haiba,kwa kifupi una Sura la Mjomba kama bata mwenye mdondo lakini Mungu sio Mrishp Ngasa,kuna mdada wa watu bila kujali muonekano wako hafifu na duni,amejitoa Kimasomaso kukupenda kwa dhati japo huna Sura wala huna hela na hadhi ya kuwa na msichana kama huyo.Mdada wa watu anajitahidi kujilinda,anakwepa vishawishi vya Mapedeshee wa town ambao wanahonga kuliko kutoa sadaka kanisani,anakataa Ma-handsome boy kibao wanaomtaka,kwa sababu yako.Badala ya kushukuru na kulipa wema,angalau na wewe anakuweka mjini unaonekana unamiliki mzigo wa maana,unaonekana nawe umo wewe ndo umekuwa Fungulia-Mbwa,Unamcheat waziwazi

Sasa hivi unajiona mjanja kwa sababu yupo,na unajua anakupenda ila siku moja atakuchoka atakuacha,Sasa Sijui utapata wapi mdada mwingine wa kujitoa Mhanga kukupenda na sura lako kama umepewa taarifa ya Msiba.
Heshimuni Wadada wa watu wakijitoa kuwapenda kama mlivyo...Nakushangaa sana wewe Kijana unapata wapi Ujasiri wa kuleta mawenge kwa huyo mdada wakati unajua kabisa Hela huna na una sura kama Bonde la Ufa.....UKISITIRIWA BASI UJUE KUSITIRIKA.

Kwa Hisani ya wasukuma waishio Dar.

-Source:Seth De Jesus

Udaku Specially Blog
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Fucking post i ever see!.who told u lov is about appearance?.respect each other no matter how u looks like!

    ReplyDelete
  2. Huo uzushi mtupu. Sura inahusiana nini na mapenzi?

    ReplyDelete
  3. Fuck this fucking post. Haina maana yoyote

    ReplyDelete
  4. katk hii dunia we ndo utakuwa mwanamke wa .1 kw ujinga,tangia nizaliw sjawai kuona

    ReplyDelete
  5. Uwiii wabongo hawapendagi kuambiwa ukweli. .hahahaa. .jiwe limerushwa gizani watu munatomboka tomboka kama mmekunywa chang'a! Post nzuri sana. .lol

    ReplyDelete

Top Post Ad