HATIMAYE MWANA FA, AY NA HERMY B WAMALIZA BIFU LEO LA MIAKA MINGI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

‘Friends again’, ni maneno yaliyoandikwa na Amani Joachim (Chief Operations Officers wa B’Hits), kwenye ukurasa wake wa facebook na kupost link yenye picha inayowaonesha AY, Mwana FA, na Hermy B wakiwa kwenye picha moja.

Wengine kwenye picha hiyo ni Fid Q, Carol Ndosi na Arthur.
Picha hiyo imepigwa usiku wa kuamkia leo (November 29) inamuonesha Producer wa ‘Habari Ndiyo Hiyo’ Hermy B baada ya kumwagia ndoo ya maji katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Leo mchana Hermy B amepost picha akiwa na FA uwanja wa ndege wa J.K na kuandika ‘Bday continues’.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Heading, picha na maelezo ya habari yenyewe upuuzi mtupu. Habari haieleweki

    ReplyDelete
    Replies
    1. uko sawa ndugu, naanza kupata wasiwasi na huyu admin wa hii web page kwa habari zake zenye utata na zisizokuwa na vyanzo!!!!!!

      Delete

Top Post Ad