IRENE UWOYA APIMA UKIMWI NA KUWEKA MAJIBU YAKE HADHARANI MTANDAONI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Sio tu watu maarufu bali binadamu wengi huingiwa na uoga kila wanapofikiria swala la kwenda kupima kama wana maambukizi ya virusi vya ukimwi au la na hata akifanikiwa kupima pia ugumu huja pale mtu anapofikiria kwenda kuchukua majibu.
Mama Krish “Irene Uwoya” best actress wa bongomovie awards 2013 ameweka wazi majibu yake ya vipimo vya VVU na kuhamasisha watu wengine wafanye maamuzi ya kwenda kupima afya zao, cheti na maneno ya kuhamasisha watu wengine kupima vyote ndio hivi hapa chini…. 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

29 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ni ujinga 2..au nikufanya wanaoenda kumpga miti wasiwe na hofu ya maambukiz au?

    ReplyDelete
  2. Ss tutaamin vp?na ww ulipitiwa na mheshimiwa ukaone bora upime?

    ReplyDelete
  3. ukiona hvy ujue aliliwa na mweny mdudu...

    ReplyDelete
  4. Mungu awe nawe kama upo salama

    ReplyDelete
  5. Mungu awe nawe kama upo salama

    ReplyDelete
  6. Nila maana sana MTU kujua afya yake

    ReplyDelete
  7. Mi kuna rafiki yangu anao,lakini anatembea na cheti cha negative kwenye pochi,bongo tambarareeeeeee

    ReplyDelete
  8. Ungekuwa unayo ungetuonyeshaa??

    ReplyDelete
  9. HAISAIDII KITU HIYO KWANI WAWEZA KUPIMA LEO KESHO UKAUKWAA.DAWAPEKEE NI KUEPUKA ZINAA NA VINGINE VINAVYOAMBUKIZA UKIMWII.

    ReplyDelete
  10. Actuzingue bana, hicho chet katengeneza stationary

    ReplyDelete
  11. Hv mnamaana gan kupima na kutangza majbu yenu hadharn nyie sahani za mm ntilie? Maana km huku UDom mabint wanahaha kwenda kuchk afya zao baada ya kuckia mh: kaungua yaani (HIV +)

    ReplyDelete
  12. Madem wa cku hz hawaogopi ukimwi, wamasema nikipata mimba itakuaje

    ReplyDelete
  13. wewe ni malaya unatembea na kila mtu ndio maana umingiwa na wasiwasi umeamua akacheki afya yako! bongo move nyote malaya nyie mnapaswa mkapime nyote!

    ReplyDelete
  14. hiyo negative ya malaria au? hadi tuone nembo ya angaza ndo tutaamini hauna

    ReplyDelete
  15. ujinga wako uwo wa kugongwa peku uku umelewa.je ungekuta mambo ni postive ungetangaza?

    ReplyDelete
  16. Afu inawezekana hata kikawa ni cheti cha malaria,ameamua kukiweka kiutalam ili azidi kunasa ndege wengi kwa kudhani ni majibu ya ukimwi.Namsapoti mdau hapo juu tungeona nembo ya angaza,amref au hospital yoyote kwenye hicho cheti tungeamin.

    ReplyDelete
  17. acha masihara ugongwe nadunia nzima harafu upone

    ReplyDelete
  18. Mi nashangaa ooh kangongwa mmh kwani uchi wenuu nahamuwez kumjuamtu kwa nje embu fanyeni yenu

    ReplyDelete
  19. Ni mwanzo mzuri mrembo Irene hata kama huko nyuma uliteleza sasa ni wakati wakuanza upya nakujipanga bora wewe umepima wanaodis achana nao labda roho zinawauma kwakua wanao wakajua wewe mwenzao.Keep it up umlee mwanao vizuri anaesema umegongwa sijui umefanyaje yeye je?Wivu tu nao waende watuletee

    ReplyDelete
  20. Ahaaaaaaaaaa kumbe na wewe uligongwa na Kapuya eeeeee!Sasa tumeanza kuwatambua mmoja baada ya mwingine.

    ReplyDelete
  21. majibu ya HIV hayatolewi kwa kuandika jina la mlengwa kwa sababu za kitabibu sasa yeye anatuingiza chaka ili tuamini sio kweli ni mbabaishaji tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Irene msaniiiiiiiii.Wanaume jihadharini na Huyu Mende .

      Delete
  22. Nasikia Dodoma university wanahaha na Sakata la kapuya,ni Ma preshaaaaa yanapanda yanashuka.Jamani wadada waremboooo tamaaa ya pesa ya nini?ukiona mwenzio Ana gari BMW unachanganyikiwa hujui ameipata Kwa njia gani.

    ReplyDelete
  23. Duuuuuuu hiyo nimekubaliana nawe inawezekana uwoya akawa mmoja wao maaana

    ReplyDelete
  24. Uwoya katembea na kapuya?

    ReplyDelete
  25. Hapo Irene anataka kutanganzia mapedeshee kuwa njooni tu, siko klini. Tafuna mwaya muda huu ndio wakeo.

    ReplyDelete
  26. acha uongo irine

    ReplyDelete
  27. kukua salama siyo bitu ya milele na milele. Kama ni mzima leo kesho atakua aje?

    ReplyDelete

Top Post Ad