KOLETHA "SIPIGI PICHA ZA UTUPU KUSAKA USTAA"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Chande Abdallah
MWIGIZAJI Koletha Raymond ‘Koletha’ amefunguka kuwa hapendi umaarufu kwa kupiga picha za utupu kama wasichana wengi walio katika tasnia ya filamu wafanyavyo.

Koletha aliyasema hayo ikiwa ni siku chache tu baada ya mitandao kadhaa kusambaza picha ya utupu inayoonesha sehemu ya kiuno, ikidaiwa kuwa ni ya msanii huyo ambapo paparazi wetu alipomhoji kuhusiana na picha hiyo, alitiririka:

Hiyo picha siyo yangu. Mimi siwezi hata siku moja kusaka usupastaa kwa kupiga picha za uchi, kwanza sipendi na sitaki kufanya hivyo sababu ninajiheshimu tofauti na wenzangu wanaoendekeza mambo hayo wakati hawana kazi hata moja sokoni,” alisema Koletha.
http://www.globalpublishers.info
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hata siku moja haitatokea makaya kujitangaza kwamba yeye ni malaya sana,hata machangudoa nao husema wanajiheshimu.nyie bongo movie wote malaya tu tena sana tu pia ni washirikina wakubwa na mlaaniwe milele na milele.....Amen

    ReplyDelete
  2. I told them kwanini usipambane na anayekuchafua hizi media hazijui kazi yake

    ReplyDelete
  3. yap hata me ctaki kuamin kama ni ww maana cjackia ckia xkendo skendo kutoka kwako

    ReplyDelete
  4. hehe pole, labda ni Adobe photoshop, cku hz teknolojia imekua nani ataamini/ hatoamini kua n ww..

    ReplyDelete
  5. hvyo ndyo njns inavyo takiwa mwnamke kuwa na mcmamo mngu akubark...!!

    ReplyDelete

Top Post Ad