AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
MTANGAZAJI wa Runinga ya DTV, Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameamua kujikondesha mwili ambapo amefanikiwa kupoteze uzito usiopungua kilo 18 mwilini.
Akizungumza na Weekly Star Exclusive, Penny alifunguka kuwa, kutokana na kuona mwili wake unavimbiana, aliamua kufanya mazoezi maalum ya kupunguza mwili sambamba na kufanya ‘dayati’ ambayo imembadilisha muonekano wake (tazama picha ndogo).
“Nimeamua tu kuubadilisha muonekano wangu wa unene kwani nilikuwa ninazidi kuwa bonge, kweli nimefanikiwa maana hata uzito nimepungua kwa sasa.
“Kabla sijaanza kufanya mazoezi nilikuwa na kilo 85 lakini sasa nimepungua hadi kufikia kilo 67, ni mafanikio makubwa ambayo nimeyapata katika zoezi langu la kupunguza uzito,” alisema Penny ambaye ni ‘ubavu’ wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.
Kuhusu msosi, kwa sasa Penny asubuhi anakula ‘ma-apple’ mawili au kipande cha papai, mchana anakunywa juisi na usiku anamalizia na saladi ya samaki au kuku, analala.
Global Publishers
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Tayari umeukwaa ucjidai kujikondesha.nenda Angaza ujijue afya yako.
ReplyDeletehahahahahahahaa daaaah!!!
DeleteMdauuuuu umeuaaaaa!nimechekaaaaaa,watu wakikonda Kwa stress au mambo mengine wanasingizia diet.
Deletechezeyaaa stress za movie ya china....hakuna cha diet..diet yake daimond..aseme kweli alikuwa hali halali kulia tu kisa dai..wema unamkondesha mwenzie..kiukwl ulivyokuwa bonge ulikuwa mzr hapo unaonekana sio diet umepungua kwa mawazo ya mapenzi..pole ila nenepa kdg hapo umezeeka na huo mkorogo mbona umevurungwa.
ReplyDeleteumeonaaaa eeeeeeeeee angejizoelea tu maana mwenzie anatafuta umaarufu kwa kutembea na mastaa asipofanya hicyo nyota yake itaporomoka sasa yeye peny anajina gani mjini atajutraaaaaaaaaaa
DeleteAnatia hurumaaa, hakuna diet ya kutoa kilo 18 kwa muda mfupi hivo, huyu lazima ni stress za movie ya Domo na Wema au Ngoma. Aanzie Angaza then mengine baadae.
ReplyDeletekupungua kilo 18 ndani ya miezi miwili kwa tizi na diet? acha kutuzingua...basi vimodo wangekua wengi
ReplyDeleteAaahhh hizo ni stress na depression za maisha hana lolote......kwanza alivyokuwa bonge ndio alikuwa anapendaza........ama inawezekana ikawa ngoma vile vile.....anamdanganya nani????????.......nyoko zakeeee
ReplyDeleteamevurugwaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteKwiiiii kwiiiiii kwiiiiii mnanimaliza huku japan!
Deletekasnuriwa kabisaaaaaa hahahaha
Deleteasugue gaga aende angaza akajue wats up jumlisha bwana alivyo zipu waz na c alisema hatumiagi puto halooooo wakianza dondoka wasanii itakuwa km umepuliza X-PEL ktk kibanda cha muuza utumbo watadondoka km nzi kudadeki
ReplyDeleteMaaaaaaama Mbavu zanguuuuuuuuu
DeleteMahaba niue yanakumaliza!pole.
ReplyDeleteYou put your life into risk kisa pesa na majumba,pole mdogo wangu,utakufa utaviacha,presha panda presha shuka mi Ndo maana Wanaume mastaa siwataki ktk maisha yangu,
ReplyDeleteWema Ana mimba ya diamond,nasikia nasikia uko china diamond alimvuruga wema akavurugika.
ReplyDeletePenny waganga wanakulia hela yako bureeeeee.
ReplyDeletePenny pole usiwaze sana, tafuta vyako kwani hapo ni tress za pesa za diamond wala Sio penzi.
ReplyDeletechezeya madame wema
ReplyDeleteMh jmn dah......
ReplyDeleteutajijua mwaka huu na bado utakonda sana tu
ReplyDelete