WANANCHI WA JIMBO LA ARUSHA MJINI[CHADEMA] WAMPINGA HADHARANI KWA MABANGO MBUNGE WAO, GODBLESS LEMA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Soma Bango hilo, wafuasi wa CHADEMA jijini Arusha ,walioambatana na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli Bw. Amani Salenga wakionyesha bango hilo kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) ,wakidai kuwa Mbunge Lema ndie chanzo cha vurugu kwenye Chama kwa kuanzisha kikundi cha vijana ambacho kimekuwa tishio kwa wale wanaojaribu kupingana na sera za Mbunge huyo. pia wamedai kuwa Arusha kwa sasa CHADEMA imegawanyika katika makundi mawili, amabyo ni CHADEMA ASILI na CHADEMA FAMILY.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Angalau machalii wa Arachuga wameanza kufunguka macho. More to come

    ReplyDelete
  2. Andamano la mtu mmoja duu hiz fitna ni nouma sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama ambavyo kura ya mtu mmoja ni muhimu ktk kubadilisha matokeo, hali kadhalika mtu mmoja aliyefunguka macho ni muhimu ktk jamii ili afungue na wengine waliolala

      Delete
  3. Wana Arusha fungueni macho kwa maendeleo ya vizazi vijavyo.chadema ni chama cha wachaga na sio cha waarusha hivyo hawatakuwa na uchungu na nyie sana sana watawaibia mwishowe mtabaki bila maendeleo.lema hana elimu anaongoza wasomi na elimu yao.ina maana Arusha hamna watu?mtajuta nyie na Arusha ulikuwa mji wa watalii sasa umekuwa mji wa majungu na vurugu.mtateseka na lema gumbaru mpaka mungu achukuwe roho zenu hamna jipya kwa lema zaidi ya kuhamasisha vurugu na kumtukuza igwena mbowe.igweeeeena power

    ReplyDelete
  4. DHAMBI ZA UBAGUZI ZA UDINI NA UKABILA HAZIISHI KAMATI KUU TU MWISHO NI KUKISAMBARATISHA CDM!! HAMJASTUKA TU!

    ReplyDelete
  5. Ha ha haaaaa unahitaji kuwa bwege wa mwisho kabisa hapa duniani kuweka picha ya mtu mmoja yupo ndani ya nyumba na kudai ni wana Arusha. Mimi sio mshabiki wa Lema, cdm, wala ccm ila napendaga tu kusoma matukio kwenye blogs mbali mbali. Lakini kwa hili la leo daaah nawabeni muheshimu akili za wasomaji we r not stupid that much. Inaweza kuwa kuanzia mwenye blog, na walio comment hapo juu wamepewa kiasi cha mboga na Zitto au washabiki wa Zitto ila sasa hata nyinyi mtakuwa ovyo zaidi kushinda hata huyo Lema mnaemtuhumu kuwa hajasoma. Hii habr its a stupidity of the first degree. Ihirumieni nchi yenu bila kujali mtu, chama, pesa au umaarufu, hizi siasa za maji kinyesi hazitawasaidia hata nyinyi coz baada ya kuwamaliza Lema au zitto hata anaekuja mtammaliza pia. Mwisho kwa wale wanaolalamika kuwa labda cdm ni ya wachaga, udini nk, napenda niwaambie hivi jamani kila chama hua kinachimbuko lake, then slowly kinakua na kuwa cha kitafaita na ktk stage za kukua ndio hutokea mifarakano ya hapa na pale, madaraka ni matam , watu wote duniani wanapenda madaraka na wana hulka ya kungangania. Angalia CUF c ni ya wapemba na waislam tatizo liko wapi, Hizbullah, Muslim Brotherhood nk kwa mfano tu ni vyama vya kidini pure bt mpaka vinaongoza nchi na kutoa wabunge na mawaziri na kuna wakristo. Angalia Baarth party ya Sadam Hussein ilikuwa ua Sunni tu bt ilichukua nchi na ilichaguliwa na wakristo pia. So acheni kupakaza kuwa cdm ni chama cha wachaga, cdm ilianzishwa na wachaga wakristo ndio maana so far wachaga na wakristo ni wengi, thats the fact, bt with time chama kitakua na kuwa cha dini na kabila zote.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Lazima ubongo wako utakuwa una funza au unatumia nyasi kufikiri

      Delete
    2. Nyoko nyoko nyoko kwenda huko na hadithi yako ndeeeeefuuuu isiyokuwa na kichwa wala miguu na iliyojaaa mifano dhaifu......CDM ni chama kilichosheheni ukabila na udini.period. No way tutawapa kura zetu 2015....Lema kwishey hatapata tena Ubunge ndio itabakia hadithi ya hekaya katika maisha yake.

      Delete
  6. Sio funza tu mdau ni chizi aliyetoroka milembe na anafikiria kwa kutumia homoni sio akili.

    ReplyDelete
  7. CHADEMA NI CHAMA LA WACHAGA NA UDINI HILO LINATAMBULIKA KWISHA NA KWA KUWA ZITO NI SI KATIKA DINI YAO BASI WATAMCHIMBA SANA. NA HII NCHI WATAISIKIA HIVIHIVI

    ReplyDelete
  8. duuuh chadema ndio wameshafulia.nyie mawazo yenu mandamano 2 amna jipya

    ReplyDelete
  9. Wachaga ni wasomi wacha watawale nchi

    ReplyDelete
  10. Na lema je? Nimsomi pia?

    ReplyDelete
  11. Uwiiiiiiiiii! Lemaomi uwezi Siasa unalipuka Kama kiberiti rudi Machame ukalime!!! Hauna hoja! Unategemea kukariri Kama baby class!'!!!'Mmm!

    ReplyDelete
  12. sion
    Member of Parliament CV
    GENERAL
    Salutation Honourable Member picture
    First Name: Godbless
    Middle Name: Jonathan
    Last Name: Lema
    Member Type: Constituency Member
    Constituent: Arusha Mjini
    Political Party: CHADEMA
    Office Location:
    Office Phone:
    Ext.:
    Office Fax:
    Office E-mail: glema@parliament.go.tz
    Member Status: Current Member
    Date of Birth 26 October 1976
    EDUCATION
    School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
    Cambridge International College Diploma 2008 2010 DIPLOMA
    Geita Secondary School O-Level Education 1989 1991 SECONDARY
    Kolila Secondary School A-Level Education 1991 1993 SECONDARY
    Kalangala Primary School Primary Education 1983 1989 PRIMARY
    Cambridge International College Degree 2010 Todate NOT COMPLETED
    EMPLOYMENT HISTORY
    Company Name Position From To
    The Parliament of Tanzania Member - Arusha Urban Constituency 2010 2015
    PTN Chief Executive Officer (CEO) 2007 2008
    Tanzania Labour Party, TLP District Secretary General 2005 2008
    DENETRIA Director 2005 2008
    POLITICAL EXPERIENCE
    Ministry/Political Party/Location Position From To
    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Member of Parliament 2010 Todate
    Tanzania Labour Party, TLP District Secretary General 2005 2008
    Tanzania Labour Party, TLP Candidate, Member of Parliament 2005
    PUBLICATIONS
    Description Date
    Lema Godbless: Msaada wa haraka kutoka katika Biblia, Arusha 2008
    Godbless Lema: Wisdom Time, Arusha 2008
    Lema Godbless: Msaada wa haraka kutoka katika Biblia, Arusha 2008
    Godbless Lema: Wisdom Time, Arusha 2008
    Lema Godbless: Msaada wa haraka kutoka katika Biblia, Arusha 2008
    Godbless Lema: Wisdom Time, Arusha 2008
    Lema Godbless: Msaada wa haraka kutoka katika Biblia, Arusha 2008
    Godbless Lema: Wisdom Time, Arusha 2008

    ReplyDelete
    Replies
    1. Amna kitu hapo kwani ujui cv nazo zinafojiwa tu now days heheheh manina

      Delete
  13. Wewe unaeipinga chadema kwa sabcu dhaifu za uchaga lazma una mcharuko wa akili.kijana wa leo mwenye akili timam,whether kasoma au hajasoma huwezi ishabikia ccm.kama una akili fupi kuwa eti nyie ndio mtaji wa vjana wa ccm na eti mtarithi hzo gench mbalimbali na madaraka basi mmepoteza.wale wazee wa ccm hawatabanduka pale mpaka wafie kwenye hzo nafasi,na utamaduni wa kuwapa vjana nafasi ndani ya chama uliishia kwa mwlm nyerere,wengne.i advise you guys geukeni kimtazamo bcouse the revolution has cme.it can never be stoped by guns neither grunets,change must be seen with our own eyes shortly.let me ask,hivi lwakatare ni mchaga?lisu je?mnyika?mdee je?dr slaa je?prof.baregu je?shibuda je?zito je?and many more.hv mbowe kuwa mwenyekiti ndio chama kimekuwa cha wachaga?wachaga wanaakili na wamethubutu kuanzisha,wengne mtafwata.lastly msisahau kuna Mungu anaeruhusu mambo yatokee for better reasons kwa walio wengi.whether amewatumia wachaga au wasukuma is nt an issue,lamsingi ni je tunaona kitu kizuri ndani yao?hayo yaliyotokea chadema ni changamoto yakukiimarisha chama zaidi.zito hatoki chadema wala mkumbo wala migambo.thngs will b settled watu wataheshimiana na kusonga mbele.

    ReplyDelete
    Replies
    1. pamoja na yote hata kwa panga hatuwezi kuwa wajinga kiasi hicho kuwapa tena chadema kura mmekwisha ni bora kura yangu nikaidumbukize chooni kuliko kuwapa nyie shwaini

      Delete
  14. Tatizo kubwa ambalo linaelekea kuja kusumbua chadema yenu ni ung'ang'anizi wa madaraka kwa waliotangulia .Kipengele cha ukomo wa madaraka ni muhimu sana unapozungumzia uongozi wa Demokrasia.ukiondoa kipengele cha ukomo wa madaraka kwenye katiba basi wewe ni dikteta.unawapa nafasi watu kuwaza mengi .

    ReplyDelete
  15. haahahhahahhahahahahahahah chadema zeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  16. utakuwa mpumbavu saanaaa kuamini wananchi wa arusha mjini wanampinga Godbless Lema, kwa mtu mmoja kushika bango akiwa chumbani!! tena pumbavu mkubwa, hivi nyie watanzania akili zenu ziko wapi? chini ya kiuno?

    ReplyDelete

Top Post Ad