ZITTO ATINGA POLIS..AANDIKA STATEMENT YA KUHUSU KUTISHIWA MAISHA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimetoka makao makuu ya polisi, upelelezi, kuandika statement kuhusu vitisho dhidi yangu kufuatia hekaya inayoitwa "Ripoti ya Siri ya Zitto Kabwe". 

Chanzo cha hekaya sasa kinabadilishwa kutoka makao makuu ya CHADEMA na kuwa ni usalama wa Taifa au CCM.

Wahusika waendelee kuhamisha chanzo lakini wajue watasakwa na kukamatwa na kuburuzwa mahakamani. Nimewashitaki kwa kunitishia maisha. Ninawashitaki kwa kunichafua kwa tuhuma za uongo. 

Ninafanya haya kwa lengo la kuhakikisha kuwa siasa za kuzushiana na kusambaza uongo zinakuwa na gharama kubwa.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. CHADEMA chaliiiiiii

    ReplyDelete
  2. zito fatilia mwanzo mwisho na ijulikane ni nani alieipost,na ushahidi uwekwe hadhalan kama ilivo kuwa kwa mwigamba,tukiona kimya tutajua ni chadema ndi wamefanya huo upuuzi maana najua kama ni ccm huwezi kuwakalia kimya

    ReplyDelete
  3. Even ne I say play your part brother

    ReplyDelete
  4. Oya weh umeongea lugha gani even me I say ndo nini hizi Kata jamani si uongee lugha yako tu

    ReplyDelete
  5. "hata mm nasema cheza upande wako kaka"

    ReplyDelete
  6. ndugu hakuna haja ya kujifanya wewe ni bingwa wa lugha,mtaacha ln ubwege wabongo,hata kama amekosea sioni tatizo kwani hiyo sio lugha yake.

    ReplyDelete

Top Post Ad