UWEZI AMINI KUMBE SIKU HIZI WASICHANA/MWANAUME BIKIRA SI DEAL KABISA..SOMA HAPA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Leo wakati nakuja hapa nilipo muda huu nilikuwa nimeongozana na wadada kama wa-4 hivi inaonekana wanaishi jirani na wanakofanyia kazi au kuishi ni kumoja

Wadada hawa walikua na story iliyovuta masikio yangu na kunifanya nipunguze spidi ili niendelee kuwasikiliza kwa kuwa tulipokuwa pana ka umbali kidogo hadi ufikie kituo cha usafiri wetu wa umma[Hiace/daladala/vifordi]

Wadada hawa walikuwa wanamzungumzia mwenzao ambae inaonekana siku za karibuni ataolewa

Tatizo halikuwa kuolewa bali anaemuoa
Inasemekana kuwa huyo mume mtarajiwa wa rafiki wa hao akina dada hajawahi kufanya ngono,yaani ni bikra wa kiume
Wadada wale walikuwa wanamlaumu mwenzao kwa kutokusikiliza maelekezo yao kwa kukataa kuolewa na huyo jamaa kwakuwa ni "mshamba" yaani hayajui mapenzi kitendo kitakachomfanya rafiki yao aanze kutembeza shule kwa huyo mume namna ya kugegeda kitendo ambacho wale wadada hawakukubaliana nacho

Walionekana kukerwa sana na walikuwa wanasema wao hawawezi kuja kuolewa au kuwa na mahusiano na mwanaume wa aina hiyo

Story hiyo ikanikumbusha miezi kadhaa iliyopita nilikuwa nazungumza na jamaa zangu kuhusiana na suala hili ambapo kuna jamaa alikuja kutulalamikia kuhusiana na mkewe kutokujua mapenzi kwa sababu alimkuta bikra

Jamaa yetu yule alionekana kukereka sana na alifikia kusema kama angejua asingemuoa
Kati ya vijana tuliokuwa pale watatu walikubaliana na yule jamaa
Nilishangaa!

Nilidhani kuwa kama ukimkuta mwanamke sio used basi unafurahi kumbe sio

Sasa nikiunganisha na hili tukio la leo naona hili jambo kama linakua flani hivi,yaani huenda hili suala hapo siku za nyuma lilikuwepo lakini inaonekana linachukua kasi mbaya

Nimeamua kulileta hapa ili nijue Wanaume wa hapa wanalichukuliaje suala hili
Pia wanawake nao wanalichukuliaje hili

Yaani kama kuna watu wawili ambao unatakiwa uchague kati ya huyo mmoja awe mwenzi wako na mmoja ni used na mwingine sio,ungependa yupi awe mwenzi wako na kwanini?

Watu wa siku hizi inaonekana hawapendi masuala ya kuanza kufundishana,wanataka watu ambao ni waalimu tayari

Inaonekana sisi mabikra tutaipata mwaka huu....lol!

Naomba mchango wako tafadhali!
Mdau-
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Usizini. Hilo ni agizo la Mungu muweza na anayejua yote. Bikira ndiyo mwenyewe haswa. Matatizo aliyonayo bikira ni afadhali zaidi mara 100 kuliko gumegume.

    ReplyDelete
  2. Basi tu niuoga kwan mtu anajua bikra akishajua utamu humkamati kwaiyo wengi wanaogopa

    ReplyDelete
  3. Mabikra ni wazuri, ila kumleta mchezoni ni shughuli nzito,kikubwa hapa ni furaha ya nafsi,binafsi Siwapendi mabikra.

    ReplyDelete
  4. Bikra sawa kwa mila zetu.ila binafsi hapana bora used.

    ReplyDelete
  5. Tatizo sio Bikra tatizo nying feki

    ReplyDelete
  6. Karne hii watu weng swala hilo hatulizingatii coz ni ucmbufu !

    ReplyDelete
  7. UKISIKIA MAPAPA YA MJINI NDO HAO WANAWAKE WA 4. MAPENZI NI SANAA KAMA ZILIVYO SANAA ZINGINE AMBAZO UFANYAJI NA UFANISI WAKE HUTEGEMEA NA KIPAJI CHA MFANYAJI. WANGAPI NI MALAYA MBWA NA WALIOKUBUHU LAKINI KITANDANI NI WAMEJAA KERO (HAWAJUI MAMBO)? UBIKRA THAMANI YAKE ITABAKIA MILELE NA INA HESHIMA KUBWA HASA KWA MWANAMKE NDIO MAANA WALIOZIPOTEZA WANAJUTA NA KUTAFUTA ZA KUTENGENEZA NA BADO HAZIFIKII KIWANGO.
    HAO WANAWAKE WALIKUA WANASEMA HIVYO KWA KUMUONEA WIVU MWENZAO NA KUMKOSA MWENZAO KWENYE UMBEA WAO PINDI ATAKAPO OLEWA.
    VIJANA WAKIKE NA WAKIUME LINDENI UTU WENU MSISIKIRIZE UPOTOFU WA HAO WALIOPOTEA KIMAADILI.

    ReplyDelete
    Replies
    1. HONGERA , MUNGU NAMUOMBA AKUZIDISHIE ELIMU YENYE MANUFAAA NA UZIDI KUWAELIMISHA, MUNGU AKUBARIK , HONGERA SANA KWA KUONGEA UKWELI

      Delete
  8. mh mnapenda shotkat

    ReplyDelete
  9. Mimi kama fundi haina maana hata kama nikimkuta bikra nitamfunza ili mradi akubali kufundishika na awe anafundika. I hire someone who can be trained and work for a job and not professional who can denite a jot

    ReplyDelete
  10. Yote sawa ni maenzi ya mtu ila ukweli ni kwamba Bikra bado ni heshima na ina thamani kubwa (haswa kwa mwanamke)....kwani hamjasikia mara kuna demu kauza bikra yake bilioni kadhaa hela za madafu..... Uoga kwamba akiyajua mambo baadae atataka kwenda nje... itasababishwa na watu wanavyoishi na wenza wao.....
    Tatizo kwenye mapenzi tunakuwaga na list ndefu ya matakwa kwa wenza wetu... but i think all one needs is Love and understanding...... ukimpata mwenye mapenzi na muelewa ..... mengine yote yanabaki matamanio madogo madogo ambayo unaweza hata kuyaepuka yasikufanye kuenda nje ya ndoa....

    ReplyDelete
  11. Du kaazi mnayo

    ReplyDelete
  12. Heshima itabaki Heshima na Uhuni utabaki Uhuni. Moja ya vitu pekee na thamani utaeza map mtu wako katika mahusiano yenye malengo ni UTU wako. I THINK I WILL GO KWA MTU ALIE JIHIFADHIA UTU WAKE, na TUSIPOTOSHANE kama hukuweza fanya hivyo kuna mengine pengine unaeza fanya kuheshimu utu wako.

    ReplyDelete
  13. Huu ni lazima ushuhudia usomaji na kila mtu, nipo hapa kuruhusu ulimwengu wote kujua kuhusu mtu aliyeokoa uhusiano wangu na mtu huyu mkuu anaitwa Dr IZOYA. Hakika alifanya kazi nzuri kwangu kwa kumrudisha mpenzi wangu wa zamani ambaye aliniacha na kuahidi kamwe kurudi kwangu tena. Kwa hili, nimekuja kutambua kuwa kutoa maelezo ya Dk IZOYA kwa ulimwengu utafanya mengi mazuri kwa wale walio na nyumba zilizovunja au uhusiano kwa ajili yake ili kukusaidia kurekebisha uhusiano huo uliovunjika au ndoa yako. Unaweza kumfikia kupitia anwani yake ya barua pepe: drizayaomosolution@gmail.com au kumwita moja kwa moja kwenye [+12098373537]. Kuwasiliana naye na kuona jinsi tatizo lako litatatuliwa ndani ya 24hours. Pia mtaalamu katika mambo yafuatayo ...
    (1) Unataka kurudi nyuma yako.
    (2) Unataka kukuzwa katika ofisi yako.
    (3) Unataka wanaume / wanawake kukufuate.
    (4) Unataka mtoto.
    (5) Wewe ni mjasiriamali na unataka kushinda mikataba
    (6) Unataka mume wako awe wako milele
    (7) Unahitaji msaada wa kiroho.
    (8) Umeshambuliwa na unataka kupona fedha zilizopotea.
    (9) Weka talaka
    (10) Kualika kwa mila ya fedha
    (11) Chagua uchaguzi

    ReplyDelete

Top Post Ad