DIAMOND PLATINUMZ APIGWA MADONGO VIBAYA NA BABY MADAHA!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MSANII filamu na muziki wa kizazi kipya wa Tanzania Baby Joseph Madaha maarufu kwa jina la (Baby Madaha) amesema kwamba msanii mwenzake wa muziki nchini,Naseeb Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platinumz si msanii bali ni mfanyabiashara.
Madaha amesema kwamba Diamond si mwanamuziki na kwamwe huwezi kumlinganisha na msanii kama Barnaba Boy, anayefanya muziki kama sanaa na kazi kulingana na kipaji chake na kwamba Diamond si msanii wa muziki bali ni msanii ngono anayefanya biashara ya muziki kupitia mapenzi.


Baby madaha ambaye hivi sasa yuko nchini Kenya kwa shuguli za muziki amesema kwamba, Diamond hajui kuimba na ndiyo maana amekuwa msanii wa matukio huku nyota yake ikiegemea kwenye mapenzi na wasichana wenye majina makubwa hususn wasanii.
Akizungumza na kandili yetu katika mahojiano maalum leo baby Madaha alisema kwamba, “Binafsi niliposikia kwamba Diamond anaumiza kichwa kunasa penzi la msanii Elizabeth Michael maarufu kwa jina la (Lulu) sikushangaa hata kidogo. kwa sababu nilitambua kwamba soko lake la muziki limeanza kushuka hivyo lazima atafute eneo lingine la kujiimarisha kibiashara, ili jina lake liendelee kuwika”.

“Siku wanawake maarufu nchini Tanzania watakapo jitambua na kuacha kulewa penzi la Diamond ndiyo itakayokuwa mwisho wa maisha yake kimuziki,kwa sababu hatakuwa na jipya na hivyo soko lake litaanza kuporomoka”alifafanua Baby Madaha.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

34 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Anajisemesha ili shetani ampande bazaziDiamond ili amfate kama Opra alivyoropoka

    ReplyDelete
  2. Leo ndo nimesoma kitu cha maana kabisa .nikweli tupu .huwez kulala na kila super star wa kike huo ni wendawazim.au labda ulipokuwa unakitu ulitaman maisha ayo wadada wa mjin lakin hela ukuwa nayo .sasa ndo wakat wako .apo ntaelewa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni kweli kama umesoma mziki ni rahisi kujua kuwa diamond sio mwanamuziki. barnaba, ben paul, na steve rnb, ommy dimpoz, na peter msechu mziki angalau wanaujua

      Delete
    2. Umemsahau Ali Kiba bana...

      Delete
    3. Yes Alikiba na Belle 9 na hao wakina steve vichwa sana

      Delete
    4. KWA UPANDE WA WANAWAKE LINNAR SANGA ANAFUNIKA

      Delete
    5. umesema kweli yaan babay madaha.leo esema ni kweli mtupu alafu kuwOa hawaoi ana bakia kuwa.zalilisha yye ndio kiki yake hiyoooo hana mfano wa kuigwa ni mchafu wa ngonooo wa dada amkeni

      Delete
    6. umeoona ee ni ushirikina diomond ndo unaomtoa, kina papii kocha na babu sea waliwalawiti watoto wa watu ili wapande chati kimziki mwisho wa siku wanaozea jela, na yeye diomond hamsini zake zinafika atakuwa ndio kapewa sharti na mganga wake atafute masupa star ndio atakuwa kimziki.

      Delete
  3. hili libibi toka limenenepa na kukosa mwanaume wa kumtomba vizr naona nyege zake anazileta kwa diamond.ametolewa nje huyo .diamond anaimba kama vp mwambie lulu nae aimbe kama yeye ndo anampa diamond uwezo wa kuimba..kila mtu ana visa vyake katika mapenz na wakuache ulale diamond

    ReplyDelete
    Replies
    1. ckuwa najua matako nayo yanaweza kuandika we mdau lzm ulipata div 5

      Delete
  4. baby madaha umeongea ukweli mtupu khsu diamond

    ReplyDelete
  5. No research no right to speak, kazi kumbwela tu, tangu lini huyo anaeeleza hivyo akawa Director wa Musicians? ana twakwimu gani juu ya maneno yake? ameinstruct Wasanii wangapi mpaka tukubali maneno yake yacyo hata na mifano ya kushawishi Watu na akili zao? we are not stupid to that extent kiasi cha kutulisha pumba zake, Mshkaji yupo vzr kuimba, usichukie mafanikio ya Mtu kwa sababu ya matatizo yako Binafsi,na wewe kaza buti.Alaaaaaa, pumbaaaaavu

    ReplyDelete
    Replies
    1. We Kuma Umelonga. Diamond Ni Nouma. Hilo Baby Mabaha Linawashwa. Kuma Lake Lililokeketwa Hilo

      Delete
    2. Freedom of speech! na ww ongea yako tukusikie

      Delete
  6. Penny vipi dada?mbona mume anaangaika hivyo?we si mshirikina mtulize Kwa madawa,asije kukuua bureeee.

    ReplyDelete
    Replies
    1. wamekutana ngoma droo haro harooooo

      Delete
  7. Madaha Una Lolote nimekuona ukijiuza club Nairobi!!! Rudi nyumbani unatia Aibu nchi ya Kenyatta!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. huko nyumban unakomwambia arudi umemuandalia shamba???

      Delete
  8. wa tz cjui tutaendelea lini hatuna tabia yakutiana moyo wala ya kumsuport najua kuna siku watu watafurahi kumuona diomond kaanguka kimziki lkn mkae mkijua diomond ndio msanii pekee hapa tz anayejua afanye nini muda gani na wakati gani .Huyo anaye jidai anaimba mi mpaka sasa anachoimba sikielewi.

    ReplyDelete
  9. Nyie Wote Wasenge 2 Mnaosema Diamond Afanyi Mzik Je Anawafanya Nyie Nyuma Huko Mwachen Dogo Asake Life.Na Wewe Unayejiita "Baby Madaha"Endelea 2 Kutangaza Umalaya Wako Najua Unafuata Nyayo Za Wolper Ila Diamond Yupo Kwa Ajir Ya Kuwakomesha Wa2 Kama Nyie Mnao Jiona Warembo.

    ReplyDelete
  10. Hayo madaha yako katika kuomhea we unaye jiita babby::::

    umempiga majungu tu.
    Coz hauja fafanua nini kifanyike?
    Au unataka na wewe akutokee?

    ReplyDelete
  11. Mwacheni alaleeee

    ReplyDelete
  12. Huyo Anataka Kupgwa Chin Kwake Na Dogo Nassibu Co Bure Unafikiri!

    ReplyDelete
  13. MADAHA tangu nianze kukufaham hujawai kuongea point kama leo, huyu domo hana muziki wowote sema nyota yake imekalia kwa madem na nafikir ndivyo alivyo ambiwa na freemason akilalana hawa malaya ndo nyota yake itang'aa, sasa nashangaa had midume nayo inamtetea huyu domo cjui michoko, aya andeleen akiwamaliza malaya anaamia kwenu, kenge weupe wote mlio pamoja na huyo kunguni!!...

    ReplyDelete
  14. Amewahi Kukufira Dogo Nassib Et!Huwez Mwanaume Mzma Umchukiage Mwangaume Mwenzio We Ni Bwege 2!Na Inaonekana Homon Zako Zmezd Za Kike Bweha Wewe Au Shoga?

    ReplyDelete
  15. baby madaha umeongea point domo an tumia wanawake maarufu kupanda chart loh ndio ana kanyemele ka lulu peny je???jamani kwa hiii tabia yake ukweli simpendiii na hisi mganga wake ndicho alicho mwambia kuimba ajui kazi kuvaa taiti za kike na vi dontachii

    ReplyDelete
  16. hao wanawake mnawaxemea mbona wenyewe wanakubali.chai wanakunywa wao kuungua mlalamike nyinyi majanga

    ReplyDelete
  17. Vp na ww ile biashara yako ya nfono inaendeleaje maana ulisema ukiwa na mteja hufanyi makosa

    ReplyDelete
  18. lini tutasaidia wasanii wetu wafike level za kina p-square?? nyie majungu tuu mtu akiwashwa na kopo lake linatema uchafu pumbavuuuu

    ReplyDelete
  19. Hatujengi Bali tunabomoa udhaifu wa dmnd hausiani na muzik.we pumbafuu kabisa mbona mabaya yako hausemi.utakufa name husda yako name undo maana haufanikwi kimaisha

    ReplyDelete

Top Post Ad