HUDDAH NA PREZZO NDANI YA VITA KUBWA TENA BAADA YA PREZZO KUPOST PICHA AKIWA NA MPENZI MPYA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Prezzo kupost picha akiwa na mpenzi wake mpya na kuandika Maneno haya kwenye Twitter "Funny how sme past dnt wanna be tense......welcome 2 my future " Huddah monroe Ameibuka na kumponda Prezzo akisema si chochote na hana hela kwani bado anaishi kwa mama yake na kutegemea hela za mama ake...na akiendelea atamwaibisha......

Hivi Ndivyo Huddah Alivyo andika.



By prezzo254
Funny how sme past dnt wanna be tense......welcome 2 my future@chaggabarbie #MySize 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yaani baada ya kupigwa chini ndiyo anamuona mshikaji hana hela?

    ReplyDelete
  2. Kweli mange mgomvi akikaa kimya kwa muda bila kumchokoza m2 kina panda ameanza kumchokoza staslisha kama anatoka na prezoo we kina kumua nn?.unajifanya unapenda Hud dah huna lolote tushakujua

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahaha mdau kumbe lazima uingie blog ya mange ukapunguzie stress kule za kuachwa na babu lako, KOMA kumshobokea mange wewe. After all si unaijua nlog yake, nenda kamwambie mwenyewe uwiiiii atakutapikiaje maneno ya shombo

      Delete
  3. Huyu mange anakichaa cha ugomvi jamani, na anatafuta kiki kupitia ugomvi na watu hebu tumpotezeeni ana stress za kufulia huyo. Alimtafuta shamimu kwa nguvu zote mwenzie kamdharau kimya anaendelea kula pesa za sembe kwa mbaaaaaaaliiiiiiiiiiiiiiii akisaidiwa na mutoto ya mujini sweet baby Kajala. Abdul kula watoto wazuri wa mujini wote wanaoomba site kwani pesa ya sembe si ndiyo habari ya mujiniiii

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bora yeye ana kichaa kichwani sio wewe una kichaa cha kwenye nyapu lako hilo, kikikupanda 2 lazima utiwe miti huko chini ndo kinatulia msonyoooooooooooooo

      Delete
  4. MUMEONA EEH CHA KWANZA KUPONDA KWAMBA HANA HELA HAWA WATOTO WAPO KIMASLAI ZAIDI NDIYO MAANA HATA SIKUMOJA HUSIKII GULUMO ANA GOMBEWA KWAKUWA HANA HELA ANACHO KOSEYA HUYU MALAYA PREZOO HUWA HAWAFILI NDIYO MANA WANA KUWA JEULI FILA PREZOO KABLA HAUJAFILWA

    ReplyDelete
  5. Hivi wanampendea nini huyu Prezzo? Kichwa kaa tunda ya ubuyu! Wanawake wasiku hizi hawana thamani wamekuwa kaa mizoga. Chefuuu

    ReplyDelete
  6. Nyie matako baridi asa hbar za mange zinakujaje hapa si muende mkacoment kwa blog yake hko....mmekalia umbea tu ht mavuz cjui km mnapata mda wa kunyoa....kiuno nyie

    ReplyDelete
  7. AnonymousNovember 6, 2013 at 12:59 AM naomba nikulize swali unatembeleaga blog moja tu naona??kwahiyo we wamuona mange ndo mchokozi?hujataja Lemutuz,sintah,millard ayo.ukamuona hyuo ndo mchokozi???
    Mnapenda sana kumpaisha Ishu ya Huddah na Stella haijaanza leo wenyewe wameamua kujianika ma instagram hata mm ningekuwa na blog ningewatupiamo hata yule wa juzi Zeddylicious kawaweka,ila huyo mange amewakaa sana ulimini,na atawanyima sana usingizi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Blog kibao zimeweka hii habari. Ila akiweka mange kimambi ndio inakua habari. Msonyooo kwao mdau wapotezee wakati mwingine mnamchokoza mange wwenyewe

      Delete
    2. Bibooo popote ulipo, pata kinywaji, hela ntalipa mimi. Khaaaa wanawake madole gumba yamewakomaa kumtaja 2 mange utadhani labda ye ndo katoa siri kuhusu starlisha na prezzo. Mtapata visukari na stroke bure wakati bado wadogooo

      Delete
  8. Mange ni looser na hamuingii starlisha kwa uzuri hata pesa starlisha gari zile ni zake alimchunaga mpopo marehemu mibilioni kibao,mchaga yule yuko ki maslahi na anabahati haswaa mange get a lyf pscho bitch umri umeenda still huna ulifanyalo zaidi ya umbea nyoko

    ReplyDelete
  9. ngoja nikaweke nywele zangu rangi ya Gold niona kama mademu watanipapatikia haki ya nini, almas nae kaweka nywelw rangi ya Gold lidies are dying 4 him, so wish me luck!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  10. jamani huyu mtu mwenyewe wa kugombaniwa yuko wapi?ni mwanamme wa kawaida saana maybe kama wanagombania pesa na kujulikana kisa wanatoka na prezzo.Mwanaume ana tabia chafu kweli.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Prezzo yuko afta Money yaani anapenda kulelewa usishangae hata hyo chagabarbe akaachwa akipatikana anaemzidi kipesa..an hudda huenda anaumia kwa sababu ameshamuonga sana hyo presdent..hihihiii wapi diva the bows.. atawatia wote mamae punguzeni shobo jieshimuni.. msiendelee kutudhalilisha wanawake wenzenu.

      Delete
  11. jamani nilimchelewa kijiwe nimekikuta kimepoa lol chaga baby ni cute, mange msimuonee yeye sio wa kwanza kuandika, hudda ni malaya aliyekosa soko na prezzo ni player........hudda msaka umarufu kupitia wema .... kashaupata..... anajua atapendwa kama wema..... i conclude

    ReplyDelete
  12. wote wajinga tu wanawake wanajiaibisha mno

    ReplyDelete

Top Post Ad