YULE SHABIKI WA YANGA MAARUFU KWA KULIA SASA NDANI YA MOVIE MOJA NA DR.CHENI..ICHEKI HAPA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Umaarufu wake umetokana na kulia kwenye matukio kadhaa yaliyomuhuzunisha ikiwemo Yanga ilipofungwa 5 na Simba na hata alipokosa nafasi kwenye shindano la BSS, umaarufu wake wa kulia tu ulifanya mpaka baadhi ya media za Kenya kuja kumuhoji Tanzania. Pamoja na hayo, Steven aligundua ana kipaji cha kuigiza na kujaribu kuomba nafasi kwa waigizaji kadhaa Tanzana lakini bila mafanikio….. mpaka siku chache zilizopita Dr. Cheni alipomsikiliza na kuamua kumpa nafasi. Tayari wameshaanza kucheza movie hii ambayo itakua ya kwanza kwa Steve kuigiza, inaitwa ‘Nimekubali kuolewa’ ambapo Dr. Cheni anamchukua mke wa Steve, Steve anahuzunishwa na hicho kitendo na kuanza kulia…. hii video hapa chini ni sehemu ya scenes alizocheza Stev….. movie inakuja soon Video:
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu niayake ilikuwa kutoka tu nasio kulia kama wenge walivyo dhani

    ReplyDelete
    Replies
    1. Pia wewe lia utoke?. wabongo hamupendi maendeleo yenu pia..

      Delete
  2. star is born people

    ReplyDelete

Top Post Ad