AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Umaarufu wake umetokana na kulia kwenye matukio kadhaa yaliyomuhuzunisha ikiwemo Yanga ilipofungwa 5 na Simba na hata alipokosa nafasi kwenye shindano la BSS, umaarufu wake wa kulia tu ulifanya mpaka baadhi ya media za Kenya kuja kumuhoji Tanzania. Pamoja na hayo, Steven aligundua ana kipaji cha kuigiza na kujaribu kuomba nafasi kwa waigizaji kadhaa Tanzana lakini bila mafanikio….. mpaka siku chache zilizopita Dr. Cheni alipomsikiliza na kuamua kumpa nafasi. Tayari wameshaanza kucheza movie hii ambayo itakua ya kwanza kwa Steve kuigiza, inaitwa ‘Nimekubali kuolewa’ ambapo Dr. Cheni anamchukua mke wa Steve, Steve anahuzunishwa na hicho kitendo na kuanza kulia…. hii video hapa chini ni sehemu ya scenes alizocheza Stev….. movie inakuja soon Video:
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
huyu niayake ilikuwa kutoka tu nasio kulia kama wenge walivyo dhani
ReplyDeletePia wewe lia utoke?. wabongo hamupendi maendeleo yenu pia..
Deletestar is born people
ReplyDelete