MAJANGA:KATIBU WA WILAYA YA CHUNYA CHADEMA AJIUNGA CCM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

1
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahmani Kinana akipiga makofi wakati Braison Mwasimba aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha CHADEMA wilaya ya Chunya aliporejesha kadi yake ya chama hicho na kujiunga na chama cha Mapinduzi CCM katika mkutano wa hadhara uliofanyika kata ya Lupa.
3
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahmani Kinana akipiga makofi wakati Braison Mwasimba aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha CHADEMA wilaya ya Chunya alikionyesha kadi yake ya chama cha Mapinduzi CCM baada ya kukabidhiwa katika mkutano wa hadhara uliofanyika kata ya Lupa.
5
Mbunge wa jimbo la Songwe na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mh Philip Mulugo akimvisha shati la CCM Bw. Braison Mwasimba aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha CHADEMA wilaya ya Chunya aliporejesha kadi yake ya chama hicho na kujiunga na chama cha Mapinduzi CCM katika mkutano wa hadhara kata ya Lupa.
 6
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akimuangalia Bw. Braison Mwasimba aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha CHADEMA wilaya ya Chunya wakati akihutubia aliporejesha kadi yake ya chama hicho na kujiunga na chama cha Mapinduzi CCM katika mkutano wa hadhara kata ya Lupa.
GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Replies
    1. ishakufa tunasubiri kuizika futi 12 shwain zao

      Delete
  2. mdau hapo juu elewa kitu kimoja,ni kweli chadema haitakufa kwasabubu wajinga kama wewe mpo wengi,kwa jinzi hiyo litabakia jina kama nccr au cuf

    ReplyDelete

Top Post Ad