NICK MINAJ ASIKITISHWA NA KIFO CHA MANDELA MPAKA AKAJIKUTA KAONGEA KISWAHILI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kifo cha Rais wa zamani wa Afrika Kusini kimewasikitisha watu wengi sana wakiwemo watu wa maarufu duniani lakini rapper Nicki Minaj mwenye wafuasi milioni tatu na nusu kwenye instagram amevunja rekodi ya kuwa staa pekee wa dunia ambae nimemuona ameandika yake ya moyoni na kuongezea kwa lugha ya Kiswahili pia.

Kupitia akaunti hiyo minaj aliandika 
A complete and fulfilled life of a King. We could never repay you for your dedicated, passionate fight against injustice. We enjoy the very liberties you gave your freedom for. Your legacy will never die. Thank you, and may God bless your soul. ***Madaraka kwa watu*** 
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yaani kubwa zima kusema uongo huoni aibu? Hovyoooooooooo

    ReplyDelete
  2. kama huna habari kachambie pilipili manga ulale nyoko wewe

    ReplyDelete
  3. wakati mwingine najiuliza kama una akili timamu kwani unaandika usenge tu, acha ujinga kama unakosa cha kuandika nenda kapige punyeto.

    ReplyDelete
  4. mi kwanza sijaelewa hiyo madaraka kwa watu, alikuwa anamaanisha nn?

    ReplyDelete

Top Post Ad