KAULI YA BEN POL BAADA YA MSHINDI WA BSS WA MWAKA JANA NA MWAKA HUU KUIMBA WIMBO WAKE NA KUIBUKA WASHINDI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwaka jana katika mahindano ya BSS mshindi Walter Chilambo alitumia wimbo wa nikikupata wa Ben Pol na kuibuka mshindi katika shindano hilo.. Mwaka huu tena mshiliki aliyeshinda kinyang'anyilo hicho (Emmanuel Msuya) Alitumia tena wimbo wa Ben Pol  na ukampa alama za juu na kufanya ashinde. Kutokana na hatua hiyo soma alichokiandika Ben Pol na jinsi anavyojisikia kwa sasa.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. inawezekana maneno ya bn paul ya mwaka jana yalikuwa na ukweli ndani yake mshindi wa mwaka huu pia hakustahili kuwa mshindi pengine alikuwa mshindi labda wa tatu, hakuwa ametulia stagene na kukonga roho za watu kawa denger zon mara kibao eti leo anakuwa mshindi, pengine ni kweli maneno wasemayo watu mshindi wanakuwa wamemchagua wenyewe kwa vigezo wanavyovijua wao lkn ki uhalisia hakustahili kuwa mshindi

    ReplyDelete
  2. BSS NI USENGE NA UKMANIN MSUYA HAKUSTAIL HAT KIDOGO KWN HALIKUWA CHENGA2 DAD YA MAUNO NDIO MSHINDI MADAMU WEW NI KU....¥100%

    ReplyDelete

Top Post Ad