FIKIRIA MAZINGIRA YAFUATAYO BAADA YA KUOANA NA MKEO...ALAFU NIAMBIE UTAFANYA NINI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Fikiria Mazingira yafuatayo:

Umekuwa kwenye uchumba na mdada kwa muda wa miaka mitatu. Katika muda wote huo wa uchumba wenu, mpenzi wako amekuwa akikuambia kwamba yeye ni bikira na hayupo tayari kufanya mapenzi hata siku moja hadi pale mtakapofunga ndoa. 

Ulikubaliana na sharti hilo kwa shingo upande na maisha yakaendelea japo kwa shida hadi pale siku mlipokuja kufunga ndoa. 

Baada ya harusi yenu kilichofuata ni fungate kwenye hoteli maarufu. Unaingia chumbani ukiwa na furaha zote na hamu ya kukipata kile ulichokivumilia kwa muda wote. 

Unaanza kufanya tu mapenzi, unahisi kwamba mwanamke huyo siyo bikra ila ni mzoefu tu kutokana na kulegea kwa papuchi na mbwembwe nyingine za kitandani. 

Unaamua kubaki kimya kwa sababu unahisi sio muda muafaka wa kuongelea hilo. Katika kumwangalia vizuri sehemu za siri, unagundua kwamba ana tattoo ya uume kwenye uke wake ukiwa umechorwa kuelekea kwenye "that particular part"

- Je, utamfikiriaje mkeo kuhusu historia yake ya maisha yaliyopita.

- Je utaendelea kuishi naye kama mkeo au siku ya pili utambeba na kumrudisha kwa wazazi wake. 

Karibuni kwa majadiliano. 
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyo alikua muuzaj

    ReplyDelete
  2. Hamna jinsi c ulikubali kudanganyika.

    ReplyDelete
  3. huo ni utapeli kama utapeli mwingine,kama ni mimi simwulizi ila nahama mkoa afu taratiiibu napoteza mawasiliano

    ReplyDelete
  4. Swali la kijinga kabisa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeona eeeh! Ujinga mtupu. Sasa hao wanaume wanaodanganya hawana watoto baadae anakwambia ninao watatu... wafanyweje? Nadhan wanaotoa comment za kijinga hawajielewi...

      Delete
  5. naachana nae kwa sababu ni muongo.

    ReplyDelete
  6. hapo n kukomaa nae tyu haina namna

    ReplyDelete
  7. Na mm ntajchora tatu ya uke kwenye uume wang il iwe fair game

    ReplyDelete
  8. Kawaida mzinifu anamuoa mzinif mwenzie kw hiyo hapo lazima jamaa na yy alikuw anazipiga za njee malipo dunian ahera kuisabiw au mnasemaje wadau

    ReplyDelete
  9. Kawaida mzinifu anamuoa mzinif mwenzie kw hiyo hapo lazima jamaa na yy alikuw anazipiga za njee malipo dunian ahera kuisabiw au mnasemaje wadau

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hakuna kuoa bila kuonja. Hizi so zama za kale.

      Delete
    2. Hakuna kuoa bila kuonja. Hiz so zama za kale.

      Delete
  10. ulimuoa yeye ama bikra yake?

    ReplyDelete
  11. Huyo atakuwa muuza "K", kwanza ntamuuliza ni nan aliyemchora hiyo tatoo,then baada ya hapo ntambebesha virago vyake.

    ReplyDelete
  12. yaani kwa hiyo tatooo, halali na mim siku hiyo, lazima nitafute demu mwingine wakumalizanae fungate. wakati huo yeye akiwa kwa wazazi wake.

    ReplyDelete
  13. NITAMWAMBIA KWENYE HUO MCHORO AANDIKE JINA LANGU

    ReplyDelete

Top Post Ad