NIMEAMBUKIZWA GONJWA BAYA NA MPENZI WANGU...USHAURI WA HARAKA WAHITAJIKA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya kutoka Chuoni anakosomea Alikuja siku mbili kabla ya krsimass vile nilikuwa nimemisi tulishinda tukiduu! Alivo ondoka tangu siku ya boxing day, nimeanza kuugua nahisi maumivu makali sana wakati wa kukojoa kuanzia jana mpaka sasa nakojoa usaha kabisa rafiki yangu kaniambia Ni Gono Tayari na akaniambia kawaida gono huwa haliponi hospital mpaka dawa za kienyeji, Naombeni ushauri jamani kuna ukweli katka hili? Pengine nitumie dawa gani kwa wanao ufahamu ugonjwa huu? Naomba kuwasilisha.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

22 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nenda hosp dawa zipo k

    ReplyDelete
  2. nenda hospital usione haya, usitumie dawa bila kupima,

    ReplyDelete
  3. Baada ya tiba Hospitali ucsahau kupima na HIV hapo umeliwa kaka na kimeo chako.

    ReplyDelete
  4. Dawa zipo ,,,unapona fasta take care ukumbuke kupima HIV

    ReplyDelete
  5. Hizo ndio dalili za ukimwi

    ReplyDelete
  6. Hapo ni hatar kapime upewe dawa pia mwambie na huyo mwenzako aende nae akatibiwe.

    ReplyDelete
  7. 100% hilo ni gono kaka wahi fasta kwenda spitali ukifanya mchezo unaweza kurejesha namba hafla!

    ReplyDelete
  8. Pole baba,hao ndio wanawake wa vyuoni: umesema ulishinda kutwa nzima unaduu, je ulinyonya kuma? na kama ulifanya hivo ngojea gono la mdomoni kijana. Pima ukimwi baada ya wiki 12 ucheki kama umeamukizwa Ngoma. Poleee!

    ReplyDelete
  9. Nyege zote zimekuisha had wakojoa usahaa unalo hilo mkaka!mbebe na mchuchu wako muende wote hosp.

    ReplyDelete
  10. Nenda hospitali muobe daktari na utapata vipimo na tiba sahihi...wala hakuna haja ya kuogooa au kupanic..ni mambo ya kawaida.kwanza ujikubali na usione soo...wengi wameumia jwa kuigopa kwenda hospitali...wewe nenda tu...

    ReplyDelete
  11. pole sna hats me yamewahi kunitokea nilichukua ka dem ka chuo

    ReplyDelete
  12. pole sna hats me yamewahi kunitokea nilichukua ka dem ka chuo

    ReplyDelete
  13. duh pole bt inawezekan naw ulikuw nao kabla ya kux na mchuch. Dalili mbon zimetokea mapem san. Wah hosp utapata daw lakn wakt mwngn uwe makin ucvamie tu hata kam umems kisenge. UTAKUFA KIBUDU.

    ReplyDelete
  14. Wahi hosptiali utapata ushauri mzuri hata kama umeambukizwa ukimwi ndani ya masaa 36 utapatiwa dawa ya kinga

    ReplyDelete
  15. Hilo ni gono. Linatibika na kwa male huonekana mapema sana ndani ya masaa24. Kwa female waweza kaa nalo ata Mwaka usijue. Nenda hospt. Watakupa penadul injection na dawa ingine wahi upate PEP kuzuia maambukizi ya HIV pia

    ReplyDelete
  16. pole sanaaa. na mimi yalinikuta, ila mimi ni msichana, baada ya kukutana na mpnzy wangu nilisikia hyo hali, nikaenda hospital haraka sanaaa nikapata tiba, lakin cha ajabu mwenzangu mbishi anasema yeye haumwi wala kusikia maumivu...najiuliza maswali mimi niliupata wapi wakati sina mwanaume mwingine? ila nashukuru mungu nimepona mwenzangu kama hataki kwenda kupima, nilimwambia sikutani nae tena mpaka apime!

    ReplyDelete
  17. Usikate tamaa madawa yapo pima kwanza ngoma maana hizo ni dalili kichaa wangu.

    ReplyDelete
  18. Usikate tamaa madawa yapo pima kwanza ngoma maana hizo ni dalili kichaa wangu.

    ReplyDelete
  19. kama ww mlokole muachie mungu lakini kama unamoyo endelea nae lakini kama una roho ngumu tia kilema cha maisha

    ReplyDelete
  20. Du! uzinzi haufai vjana wenzangu.

    ReplyDelete

Top Post Ad