AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Ivo amedai kuwa hana bifu lolote na goli kipa huyo ingawa ni kweli hakumpa mkono, na kwamba yale yalikuwa ni maamuzi tu.
"Unajua kaka watu wanaongea sana lakini mimi sina bifu lolote na Ivo,hivyo ni vitu vya kawaida tu na maamuzi ya mtu." Kaseja
Simba iliibuka na ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya Yanga, matokeo yaliyopelekea Yanga kumtimua kocha Mholanzi Ernie Brandts.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
He's handsome this guy OMG
ReplyDeleteAcha umalaya ww
DeleteKwani kumsifiya mtu ni umalaya? Ama kweli watu wengine hamjuwi mnacokiongea sometimes
DeleteAo una bifu naye!
DeleteUlikoma nani anataka mkonoa wa gundu
ReplyDeleteUmehongwa Na simba yako Ili Yanga ifungwe.
ReplyDeleteUmeikimbia simba kumbe unaenda kujidhalilisha, mkundu wako kaseja
ReplyDeleteFala tu huna lolote mganga wako kafa sasa unaumbuka
ReplyDeleteKaseja simba damu
ReplyDeleteHii Ni kweli na card ya simba anayo
DeleteKaseja mbinafsi nashangaa kwann yanga wamemchukua
ReplyDeleteYAnga kumchukua kaseja ni kosa la mwaka 2013!
ReplyDeleteYANGA MMEPOTEA KUMCHUKUA KASEJA ASHAFULIA HUYO!
ReplyDelete