KAJALA LAIVU NA MUME WA MTU CHINA...WANASWA WAKIJIACHIA KWA RAHA ZAO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori:   Shakoor Jongo na Musa Mateja
HUKU akiendelea kukanusha kutibua ndoa ya shoga’ke kwa macho makavu, mwigizaji wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja hivi karibuni amenaswa laivu akila bata na mume huyo wa shoga’ake huko nchini China.

Kwa mujibu wa chanzo chetu, Kajala amenaswa akijiachia kwenye kumbi mbalimbali za burudani nchini humo sambamba na mwanaume huyo.
“Huyu mwanamke amewadanganya mashoga zake na ndugu zake huko Bongo kwamba amekwenda Zambia, mbona anaonekana huku akila bata na mume wa Sabrina?” kimehoji chanzo chetu.

Chanzo hicho kimeendelea kudai kwamba  Kajala anatanua na mume wa shoga’ke huyo aitwaye Sabrina Kimaro bila ya kuona haya.

Kwa mujibu wa chanzo chetu, Kajala amenaswa akijiachia kwenye kumbi mbalimbali za burudani nchini humo sambamba na mwanaume huyo.
“Huyu mwanamke amewadanganya mashoga zake na ndugu zake huko Bongo kwamba amekwenda Zambia, mbona anaonekana huku akila bata na mume wa Sabrina?” kimehoji chanzo chetu.

Chanzo hicho kimeendelea kudai kwamba  Kajala anatanua na mume wa shoga’ke huyo aitwaye Sabrina Kimaro bila ya kuona haya.

Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Sabrina alisema kuwa hivi sasa kama amechanganyikiwa kwa kuwa kila siku anakunywa pombe ili kupoteza mawazo ya kuporwa mume na shoga’ake kitu ambacho hakukutegemea maishani mwake.

“Kwa kweli naumia sana, awali kuna baadhi  ya watu waliamini kuwa nilikuwa natafuta umaarufu kwa kumsingiza Kajala, sasa kila mtu anaona kuwa ni kweli, naamini Mungu atanilipa,” alisema Sabrina.
Gazeti hili lilifanya juu chini kumtafuta Kajala ili kuweza kujua undani wa kitendo hicho muda mchache baada ya kuinasa picha  yake akiwa na mume huyo wa Sabrina.

“Niko Rufiji nimekuja kushuti filamu,” alisema Kajala.
Katika kuthibitisha hilo, mwandishi wetu alimtafuta rafiki wa karibu wa Kajala (jina kapuni) ambaye alikiri kwamba msanii huyo amemuaga bwana wake wa Dar kwamba anakwenda Zambia kununua vifaa vya kurekodi filamu.
“Hata miye nimeshangaa kusikia kuwa yuko China,” alisema shoga huyo.
GPL
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mpekuzi acha uongo..tafuta habari hii habari na picha umeitoa instagram na hayo maneno umeyatoa kutoka katika coment za watu..umeunganisha hadi umepata kitu kizima..unakera kweli sasa ndo naamini..waandishi wa kibongo mtaishia hivi hivi hamwezi kwenda kitaifa coz mnapenda mteremko ..watanzania wengi wapo IG so usijishushie heshima kwa kuonganisha vitu

    ReplyDelete
  2. Mapunda hao wamepeleka mzigo ndio kazi iliyobaki.

    ReplyDelete
  3. Mjini hamna rafiki,ngoja na huyo clement wa wema amchukue.

    ReplyDelete
  4. Sasa kama mpekuzi alimpigia Kajala simu na kumpata ina maana kajala hakuwa china hivyo story ni ya kutunga na haina mantiki.

    ReplyDelete
  5. Daaaaah jela bado haija mfunza daaaah........ kisicho riziki hakiliki daaaaaah atajibu nin huyo kuma......

    ReplyDelete
  6. Mume wa mtu kwa mkewe na hao wanaojiita wa ume za watu wajiheshimu basi ndani ya ndoa zao mbona ndio wanao ongoza kutoka nje ya ndoa,storry ya hapo juu muandishi umechemka maana ni ya uongo ila ujumbee huu uwafikie nyie mnao jiita wa ume za watu na wake za watu jiheshimuni basi mbona mnaongoza kwa maovu.

    ReplyDelete
  7. Dah, hili lidada sijui ndo likajala, itakuwa ni kweli maana anapenda kutoka na wamme za watu, nawakati anamtoto mkubwa tu! Angekuwa mzuri angepata wake peke yake mbona anaishia kwa Riziki za wenzake, Mxxxiiiiuuu OVYO

    ReplyDelete
  8. Katembea na mume Wa shamim mwasha nasikia.

    ReplyDelete
  9. Siyo katembea na mume wa shamim mwasha, ni mke mwenzie na huyo shamim mwasha kwani wanashea hicho kibamia, na hawajaachana na hata dalili za kuachana hawana, kwani kila mtu anajua uovu wa mwenzie so mwendo mdundo kama Uganda tu.

    ReplyDelete
  10. Ndoa za wauza sembe bongo majanga tu

    ReplyDelete
  11. Kajala kuna analolitafuta.....ngoma ikivuma sana hupasuka......kama kweli tuhuma za kutembea na waume za watu ni za ukweli basi mwisho wake ni wa aibu sana......its pity she has a daughter maana laana anazozisaka zitaambatana naye na kizazi chake. sijui nini kinamsumbua huyu dada jamani???? mumewe kama anapata magazeti huko jela si anaumia sana? Kweli hii ni laana, I wonder if her mom is alive na anashuhudia tuhuma zote hizi za binti yake.....na yeye lazima atakuwa anachafuka sana mbele ya jamii inayomzunguka.....maana lawama za mtoto mtukutu huishia kwa mamake.......Kajala grow up, muombe Mungu mumeo hata apate msamaha wa kifungo muendeleze familia, jiulize mwanao na mama yako wanajiskiaje kila wanaposikia tuhuma za wewe kuhusishwa na waume za watu....utakuja kukutana na mtu asochezewa kwenye ndoa yake and u or ur family will regret mno.

    ReplyDelete

Top Post Ad