KWA PENZI HILI NADHANI NAKARIBIA KUNYOOSHA MIKONO JUU...PAPUCHA SIPEWI ILA NACHUNWA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mhhhhhhhh! Kwa penzi hili nadhani karibu nanyoosha mikono juu!

Mhhhh! Baada ya kuwa mpweke kwa muda mrefu, uzalendo ulinishinda nikaamua angalau na mimi nitafute binti wa kuniliwaza. Mchakato huu ulianza kwa binti mmoja ambaye tulikutana kwenye dala dala tukitoka Posta kuelekea Mwenge. Nilivutiwa na mwonekano wa Binti huyu nikaamua niombe namba ya simu. 

Mungu si athumani alitoa namba bila hiyana! Kutokana na furaha ya kupewa namba sikuweza kuongea chochote siku hiyo kama mtu aliyewekewa matambala ya nguo mdomoni hadi muda wa kushuka Mwenge ambapo tuliagana tu na nikamuahidi kumtafuta. Kwa mwonekano, binti huyu ni mwembamba, ana baby face, mweupe wastani pia ni mrefu kidogo. Alikuwa na SmartPhone ya Nokia ambayo gharama yake nakisia sio chini ya Laki Tatu! 

Pia alikuwa amejitupia micheni siku hiyo, cjui ya madini gani mshamba mie. Msije Mkaniomba Picha! Sina. Tulianza mawasiliano ya hapa na pale huku nikijaribu kumuonesha kwamba najali. Urafiki wetu ulidumu kwa muda kama wa mwezi mmoja ndipo nilipoamua kumtamkia wazi kwamba ……………….! 

Katika urafiki wetu nilipata kujua kwamba binti yule alikuwa anasoma Procurement kwenye chuo Fulani hapa hapa Mjini. Nilizungushwa kukubaliwa ombi langu kwa muda kama wa mwezi mmoja. Sikukata tamaa kwa sababu nawajua watoto wa kike: Kwanza kukubali moja moja ni udhaifu na pia mapozi kwa mtoto wa kike ni ya muhimu kama ilivyo tendo la ndoa kwa walio oana. Baada ya kubembeleza sana ombi langu lilikubaliwa na nikawa rasmi mpenzi wa Fulani. 
Kukubaliwa huko kulileta Joto na Raha ndani ya moyo wangu! Kusema kweli nilifurahi wiki ya kwanza huku nikishindwa kujenga taswira kwenye ubongo wangu siku ya kugegedana itakuwaje?????????!!!!. Kitumbua kiliingia mchanga baada ya kuombwa Laki Moja ili aongezee kwenye ada alipe chuo. Nilijiuliza maswali mengi ambayo yalikuwa hayana majibu. - Kwanza kwa nini asimuombe mzazi wake. Mi sio mzazi!!!!! - Miaka yote nani alikuwa anamlipia ada? - Kama mimi nisingekuja kwenye maisha yake, nani angelipa hicho kiasi cha ada! Na mengine mengi. Labda wana MMU mnisaidie kumjibia. Nilitoa laki moja kwa shingo upande. Baada ya hapo nimekuwa mtu wa kupigiwa simu, mara dia sijala, mara dia naumwa naomba hela niende hospitali. 

Nimegeuzwa ----- mie kila siku natoa hela tu. Siku alipokuja kunichosha ni pale aliponiambia kwamba SmartPhone yake imetumbukia kwenye maji na imezima kabisa haitaki kuwaka kwa hiyo kwa sasa ameweka kadi ya simu kwenye simu ya mwenzake. Kama umesoma “Critical Thinking and Argumentation” inabidi uwe umeshatambua kwamba nilitakiwa kukununua SmartPhone nyingine labda ya gharama Zaidi kuliko ile aliyokuwa nayo mwanzo. 

Nikijiangalia mwenyewe natumia Nokia tena yenye tochi – gharama yake haizidi elfu hamsini. Hata hiyo SmartPhone sijui una-touch vipi kwa sababu nahisi siku nikipewa itanishinda kutumia. Nipo hapa hapa mjini ila mshamba haswa wa mambo hayo! Muda huu nilimwambia kwamba sina hela ya kumnunulia simu hiyo. Ila siku hizi huwa namkuta na Samsung Galaxy S3 Mini. Baada ya kumkatalia kumpa hela ya simu, kwa sasa tunaendelea na mizinga midogo midogo. 

Papuchi sijapewa hadi leo. Nikimwita Faragha nijibiwa “Akhu”- msamiati ambao nilikuwa sijawahi kuusikia kabla isipokuwa kwa huyu binti. Penzi letu limekuwa la kukutana pale Mwenge – New Jamarat na kunywa Juisi. Sijawahi hata kugusa kalio mie. Natamani kuachana nae ila roho inaniuma – hela zangu. 

Wana MMU naomba mnisaidie kwenye mazingira haya manake naweza nikafa mawazo– angalau nipewe papuchi tu na moyo wangu utapona.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Daaaah inauma mwanangu ina maana kipindi chote hcho huwa hapatwi na nyege hapo ujue yupo anayepewa mbunye anapiga we unapewa akhuuu. duuh mademu kumamae zao wanaona hela zinaokotwa cjui kipapa chake. mwana kaza ukojoe hata mara moja.harafu piga chini malaya tu huyo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Alitumwa kupenda demu wa hali ya juu, clasic, tafuta type yako shwain wewe

      Delete
  2. Piga chini kwani hela kitu gani wangu,fanya kumkomesha kwa njia nyingine tu,mbona watu kama hao kwangu huwa wanagota hawafiki mbali.

    ReplyDelete
  3. tumia ufo saro staili ndo dawa yao hawa cku hizi!

    ReplyDelete
  4. Ilishawahi nitokea sema mm nilitumia pesa badala ya maneno nikamnasa nikampiga kote mbere na nyuma hii leo nahongwa mm kwa kitu mbaya niliyomfanyia madem malaya unakula tgo mpaka nyaa out.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Lione acha uongo …usikute hata na KIDOLE HUJAWAHI KUGUSA NYAA YA MTU YEYOTE...

      Delete
  5. Kaka umeshapigwa ndugu yangu ndo staili zao, cha msingi kimbia mapema kabla gharama hazijazidi ukaja kuua mtu

    ReplyDelete
  6. Duh had raha nunu cm wewe acha kujilalamisha ndo uwanaume,siku hiz wanawake tuna kastail fulani kama mwanaume umtaki akikutongoza tu unaomba laki anatoka nduki arudii,sasa we mkaka king'ang'anizi acha ukomeshwe.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndo maana mnafumuliwa ubongo daily kuma nyie!!! Na wewe huna muda mrefu, mkundu we!

      Delete
  7. mh hatari wapo wengi ila jitahid uwe kauzu siku nyingne

    ReplyDelete
  8. Hahahahahaha....Du babake hujapewa hata Papuchi baba!? Usikubali Mwambie akurudishie alau ile laki1 ulotoa kwanza fee ya shule.

    ReplyDelete
  9. Pumbavu zenu aliombwa hakukopwa arudishiwe nini?kiendacho kwa mganga hakirudi ulie tu mkaka ushachunywa chaubaili.mwanaume mzima ovyooooooooooooo unalialia.

    ReplyDelete
  10. Ha ha ha ha, ndo dawa yao!! Mwanamme kama umtaki mpelekeshe na pesaa mbaka atatoka tu mizinga ya nguvu, iyo laki nayo ni hela, Omba GARI kabsa kama ataki funga vioo

    ReplyDelete
  11. Kiendacho kwa mganga hakirudi? Mbona mim nilichukua buku 2 zangu kwa mganga?

    ReplyDelete
  12. Tulia wewe mke hapatikani kwenye daladsla.

    ReplyDelete
  13. Mshamba wewe loooooo yani laki moja ulizani unanunuwa papuchi? Watu wanahonga magari afu wewe unalalamikia laki moja! Pole kaka yangu

    ReplyDelete
  14. Hadithi yak utunga ila huwa yanatokea,ulipomtongoza makubalioano yenu yalikuwa nn?kumegana kisera au mchumba kabisa?ulitakiwa kuwa muwazi kuwa unataka k sio domo zege.

    ReplyDelete
  15. NDIO MAANA SIKUPI BWEGE KABISA ,YAANI UNAKUJA KUADITHIA HUKU NIKUKUPA JE ?
    NA CHUCHU SIKUPI TENAAA USHIKE …..MSONYOOO!! OH NA KABLA SIJASAHAU UKOME KUNIOMBA UANGALIE CHUPI GANI NIMEVAA …..( MBUZI IMEKATA KAMBA )

    ReplyDelete
  16. Wajinga ndo waliwao ,wewe malaya unahonga laki ?malaya elfu mbili tu tena unakula dairly,

    ReplyDelete
  17. Kaka tumia mbinu nyingine unase windo lako, danganyia toto akiingia kumi na nane mtombe umtie mimba kisha achana nae atakutafuta mwenyewe, usimuite jamarat muite chumbani.

    ReplyDelete

Top Post Ad