RIDHIWANI KIKWETE ALIUMBUA GAZETI LAA TANZANIA DAIMA KWA KUANDIKA UONGO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



"Nimesikitishwa sana na jinsi Gazeti la kaka yangu Mbowe (Tanzania Daima) la leo Disemba 20, 2013 lilivyotumia jina langu kutafuta mapato na labda kwa nia nyingine.

Gazeti hilo katika ukurasa wake wa kwanza na wanne linaripoti kwamba jana Disemba 19, 2013 nilikuwa mkoani Mwanza kumuwakilisha Mheshimiwa Rais!

Napenda jambo hili lifahamike na lieleweke:


Ukweli ni kwamba jana, Disemba 19, 2013 sikuwepo Mwanza na wala sikutoka nje ya wilaya ya Kinondoni

Ni imani yangu kuwa taarifa hii ilichapishwa makusudi. Ninaheshimu sana uhuru wa vyombo vya habari lakini kwa hili sasa mmezidisha.

Nakaribisha maoni yenu, kama taarifa kama hii isiyo sahihi na ya kupotosha ingechapishwa dhidi yako, ungechukua hatua gani?

Jumaa Kareem!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni upumbavu tu kati ya gazeti na wewe, unatuuliza cc ili iweje sasa kwani cc ni waandishi wa habari!

    ReplyDelete
  2. Mbowe si msenge. Anatapatapa sasa baada ya ishu yake na joyce kubomonyoka na uma wote ukajua. Sasa aibu zake anatafuta wa kushare nae ili watu wasahau. Jamani baba Freelady unamambooooo

    ReplyDelete
  3. Duh! Waandishi wa habari wamezidi sasa. Uhuru wanautumia vibaya sana.

    ReplyDelete

Top Post Ad