MADAM RITA AFICHUA SIRI"NILIZAA KATIKA UMRI MDOGO SANA"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkurugenzi wa Benchmark Production, Rita Paulsen aka Madam Rita amesema yeye ni miongoni mwa wanawake waliopata ujauzito wakiwa na umri mdogo lakini alikuwa jasiri wa kukabiliana na hali hiyo hadi akafanikiwa.

Kupitia Facebook, Madam Rita amewashauri wasichana wanaojikuta katika katika hali hiyo kutokata tamaa kwakuwa bado wanaweza kufanikiwa.

“Jambo mmoja msilofahamu kuhusu mimi,Nilipata ujauzito nikiwa na umri mdogo sana. Kwa jamii yetu inayotuzunguka, ukizaa katika umri mdogo, watu huwa wanakunyanyapaa, hukuona haufai kuwa katika jamii na hata kukuhukumu. Kwa umri ule niliona ni kama hamna tena maisha kwangu lakini sikukata tamaa na leo hii ujasiri wangu na kitu kinachonipa msukumo wa maisha hadi kufika hapa nilipo ni hicho kilichonikuta nikiwa na umri mdogo.Kukataa tamaa isiwe ndio chaguo lako la kwanza,” aliandika Rita.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huna lolote malaya mbwa wewe. Nani asiekujua kama unatombwa na wenye noti, hovyoooo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sasa unataka apigwe pumbu for free? Hamna hayo siku hz kupakana jasho nani anataka?

      Delete
    2. hahahahha anony 08:20 nimependa jibu lako

      Delete
  2. WE ANONY WA KWANZA KWAN ANAPOKWENDA KUTOMBWA HUWA ANAKUAZMA KUMA YAKO ALAF AKIKURUDISHIA KUMA YAKO HAKUP HELA?UNACHO KOMENT NTOFAUT NA MADAM ALCHO SEMA, NDYO MAANA TZ HATUENDELEI MTU ANAKUPA USHAUR MZUR ALAF UNAANZA KUJAJI AMBAVYO CVYO

    ReplyDelete
  3. Alibakwa na house boy si aseme tu ili watu wajue.

    ReplyDelete
  4. ningependa kuona aliepost jambo la busara basi mchangie mambo ya busara sio mmetoka kula mirungi na bangi zenu mnachangia mambo yasiyoya msingi haifai kama huna la kuchangia tulia sio kutukana tuu bila kufahamu kua madam rita ni mwanamke kama mamaako alivyo kueni wastaraabu wananchi

    ReplyDelete
  5. Mtoa koment wa kwanza ni msenge saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana

    ReplyDelete
  6. hivi baadhi ya watu hapa wamelongwa yaani hamuoni mazuri aliyofanya huyu mama mkamsifia badala ya kumponda i think hii bongo star seach ni yeye alianzisha kuwanyanyua vijana wenye vipaji vyao huyu dada amefanya mengi mazuri sana anastahili pongezi sana na siyo kashfa za ajabuajabu wt tubadilike hii hasira yako ya hali ngumu ya maisha hiyo muda unayotumia hapa kumtukana rita siungetumia kutafu kitu cha kukuingizia kipato?so sad

    ReplyDelete
  7. Pongezi zako madam Rita ni wasichana wachache sana wenye ujasiri kama wako!!

    ReplyDelete
  8. Rita mrembo Kama wake wenzie,joketi na klynn.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Heee umesahau Yule mdada aliyefunga nae ndoa kabla ya mke wake Wa ndoa kutalikiwa?alikuwa bomba pia,mzee too much anajua kuchagua warembo.

      Delete
  9. nakweli hii ni hasira ya ugumu wa maisha mtu anasema kingine we unakurupuka na mitusi yaan kama mwehu vile!!!!.inahusiana vipi sasa maneno ya madam na hayo matus yenu? kamwe mshamba hawezi kuwa mstaarab mtabaki hivyo tu na roho zenu za chuki!!!!!

    ReplyDelete
  10. MADAM CYO MREEEMBO KVLE M M NAPENDA TU USTARABWAKE

    ReplyDelete
  11. Mm nampenda sanaaa madame rita.ni mstaarabu saana then anajitambua.

    ReplyDelete

Top Post Ad