MGANGA WA DIAMOND ATABIRI DIAMOND KUFULIA KIMUZIKI NA KIFEDHA HIVI KARIBUNI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtu mmoja anayedai kuwa mganga aliyemtoa mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz ameibuka tena na kueleza kuwa Diamond Platinumz tayari ameanza kushuka kimuziki kama alivyosema awali.
Mtu huyo anayejitambulisha kwa jina la Dr. Yahya Michael ameuambia mtandao wa mamuafrica kuwa kile alichokisema mwanzo kuwa Diamond Platinumz atashuka kimuziki na kurudi pale alipokuwa kimeanza kutokea ingawa watu wengi hawaoni.
“Diamond alikuwa anapiga show kwa milioni 10 lakini sasa hivi hapewi hata show ya milioni 7. Nilizungumza kushuka sio kupanda na nashukuru kwa sababu rekodi ninayo. Nimeongea kushuka sio kupanda, wale walioko nyuma yake hivi sasa ndio wanaonekana kuongoza. Hata katika mambo yenu ya kumi bora za Tanzania yeye hayumo katika mbili.” Amesema Dr. Yahaya

“Sijawahi kumuona mtu anaepanda anaambiwa ameiba nyimbo, sijawahi kuona mtu anaepanda anashindwa na yule ambaye alikuwa anamshinda mwaka jana. Na wala sijawahi kumuona mtu anaeambiwa anapanda halafu anapigwa mawe na watu waliokuwa wanataka wamuone kwa kiingilio kikubwa.” Ameeleza.

“ Kwa sababu Diamond wa mwaka 2010,2011,2012 ni Diamond aliyekuwa anapiga show Mlimani City sehemu alipozaliwa Dar es Salaam kwa kiingilio cha shilingi 50,000, siku tatu kabla ya tukio tiketi zimekwisha. Kwa hiyo Diamond wa hivi sasa ni yule ambaye anapiga show Tabora sehemu ambayo hajawahi kuonekana, kwa kiingilio cha shilingi 5,000 na watu hawaingii na bado walioingia wanampiga mayai viza na mawe.” Ametoa mchanganuo wake.
Mtu huyo akafika mbali na kuapa, “ amini, sitakufa kabla haki hii haijatendeka, naapa…kwa heshima ya mwenyezi Mungu aliyeniumba. Anasema pigania chako ali hali hata ukifa ili mradi ulikuwa unapigania chako.”
Hata hivyo, Naseeb Abdul aka Diamond aliwahi kumkana Dr. Yahya na kueleza kuwa hamfahamu na hajawahi kumuona.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

22 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Amekukosea nn?UPDATE mzidi kungaaa bac.ovyoooooo!

    ReplyDelete
  2. Aende zake kwan atakua wa kwanza kufulia,go to hell ww mganga

    ReplyDelete
  3. Mbona kawahida sana

    ReplyDelete
  4. Kwani huyo domo hakutafuta waganga huko nigeria alikoenda!! Huko si ndo chiboko kwa ushetani.

    ReplyDelete
  5. nawe mmiliki wa hii blog ni msenge
    yaan ww limbuken kabisa...naona hits za RAIS WETU WA WASAFI zinatolewa kwa mtazamo hasi tu
    mbona diamond anafanya mengi mazuri wala huandiki
    mfano leo ametembelea kituo cha watoto yatima buguruni!!

    ReplyDelete
  6. huyo dimond ni msenge fanya kazi kwa uwezo wako usitegemee nguvu za gizaa ndio matokeo yake haya yanayo fuata kumbuka hata dawa zina wakati wake wakufanya kazi na pia zina wakati wake wakusiziiiiiiii

    ReplyDelete
  7. Walikuwepo mastar leo wako wap....? Kama vp mdrop coz cjaona msaada kwang zaid y mijisifa2 n kushobokea vijidem kw kuvipandapanda kama farasi bas......,ko itakavokuwa vovote vile poa2@yahaya.

    ReplyDelete
  8. Tatizo waTz ushirikina tumeweka mbele, mtu akifanikiwa basi mganga kahusika, huyo mganga kama anajua kumpa mtu hela asi ajipe na yeye hela awe tajiri. Mganga mchawi tu afu ana njaa, akili hana. diamond piga kazi mashabik wako watakuunga mkono daima na faida utaiona. Tz hatupendi kukubali jitihada za mwenzetu anapofanya vizuri, tunamkandia tunamtuhumu wakat wengi wetu hatuna ajira hata za kutuingizia hela japo kidogo. nakutakia kila haeri Diamond

    ReplyDelete
  9. Wewe endelea kutabiri maana huo upuuzi wako hatujaanza kuusikia jana...! PLATINUMZ anazdi kupga pexa wew cheza na matunguli yako 2 kumzibia Ridhiki ila Ridhiki Anatoa Mungu xo Go to hell,mazafanta.

    ReplyDelete
  10. sasa wewe unamwombea mwenzako mabaya au? toka hapa na uganga wako, me siyo shabiki wa Diamond na wala sijawai kwenda kwenye shoo zake, lakini jamani tuachane kuombeana mabaya.

    ReplyDelete
  11. Hata akishuka hawez kua na dhiki kama yako bwana mganga coz ana majumba na vitu kibao

    ReplyDelete
  12. Wewe Mganga na Baby Madaha mnalenu jambo
    Pumbavu zenu na wewe mganga we unapandisha watu kisanii wewe mbona huwi bilionea au hata milionea kenge wewe

    ReplyDelete
  13. Manina zako mganga,hv mjukuu wa mwenzio kakukosea nn msenge ww...embu muache mtoto watu bado mdogo sana na hyo mizigo unayomtwisha ni mikubwa...si una watoto ww wapandishe basi nao wawe kma domo au wanaishia kuitikia tawile tu,umkome mtoto wa mwanaume mwenzio,km huna kazi kasugue makende yako maana yananuka tunguri tu

    ReplyDelete
  14. Manina zako mganga,hv mjukuu wa mwenzio kakukosea nn msenge ww...embu muache mtoto watu bado mdogo sana na hyo mizigo unayomtwisha ni mikubwa...si una watoto ww wapandishe basi nao wawe kma domo au wanaishia kuitikia tawile tu,umkome mtoto wa mwanaume mwenzio,km huna kazi kasugue makende yako maana yananuka tunguri tu

    ReplyDelete
  15. Alıyepewa kapewa acha kumshırıkısha Mungu kwenye uchawaı wako na ushırıkına kupanda na kushuka anajua Mungu co Bnadam alafu Dıamond ana uwezo wake wala co uchawaı we apa tu kua hautakufa mpaka Dıamond ashuke wkt hujuı kua Mungu anaweza kukuchukua hata mda huu "ITTAQ LLAH NDG YANGU" dunıa njıa tu hıı uclete umwamba walıkuwepo watu leo hıı wako wapı ıtakua ww kıumbe dhaıfu tu.

    ReplyDelete
  16. Kwani kufulia ajabu? Hivi huyo mganga hana watoto au hata wa ndugu zake akawapa huo utajiri au wakavuma kama D? Ilufulia SCANDNAVIA itakuwa D? hiyo yote ni mipango ya mungu,halafu huyu ana kufuru eti kabla hajafa anajua atakufa lini kweli mganga kapanic.

    ReplyDelete
  17. Kwani kufulia ajabu? Hivi huyo mganga hana watoto au hata wa ndugu zake akawapa huo utajiri au wakavuma kama D? Ilufulia SCANDNAVIA itakuwa D? hiyo yote ni mipango ya mungu,halafu huyu ana kufuru eti kabla hajafa anajua atakufa lini kweli mganga kapanic.

    ReplyDelete
  18. Kaza na wew uwe star bas aaaaa!

    ReplyDelete
  19. Eti unasubil diamond afulie ndo ufe,acha mambo yako we mfuga tunguli kaza na yako bhana huyu ashakua star xaxa c ukaze ili na wew uwe star.

    ReplyDelete
  20. Kupanda na kushuka ni kawa,anae toa riziki ni Mungu.Diamond kufulia aanzi wala hamalizi,ikiwa ni kipaji keshapewa na mungu.husda za nini?

    ReplyDelete

Top Post Ad