MWAMVITA MAKAMBA AMTIA DONGO LA MAANA JACK CLIFF BAADA YA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hayo ndio maneni ya Mwamvita baada ya habari kuwa Jack Amekamatwa china na Madawa ya Kulevya
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

34 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mabuzi hawa wanauza sembe;

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mwamvita nilikua nakuona ni dada wa mabusara kumbe ndio mpuuzi kiasi hiki? hivi katika ushauri wote wa kuwapa wasichana wenzako wanaokuangalia kama dada wa busara "buzi" ndio umeona ni ushauri wa maana? kweli Mwamvita? umeshindwa kusema kauzeni mama ntilie au kazi ya uhousegirl mpaka useme wafate mabuzi? umenisikitisha sana Mwamvita, next time ni bora ukae kimya kama huna neno la busara usijiabishe namna hii

      Delete
    2. Buzi au Mzungu sembe hapana.www.match.com or .wazungu millionaire kibao .www.christiansingles.com

      Delete
  2. Wapo wengi sio yeye peke yake wanakimbilia kujiita wasanii Ili wawe mapunda.

    ReplyDelete
  3. Toka hapa na we mwamvita na limwanya lako kama uchochoro..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Her Personal LOOK shouldn't matter….what matters is here ' IS WHAT SHE SAID '..

      LETS LEARN TO CRITICIZE …Shall we?….WHAT SHE SAID STINKS BY THE WAY…...

      Delete
    2. Mwamvita kasoma kifungilo alikuwa na Akili hiyo mtumeee .Halafu ukimfuatisha lifestyle yake atakuacha mataa.Mnaweza make hapo mnachekaaa akiondoka hapo amejificha anasoma wewe we .Akiibuka huko mtihani wa kwanza akipata B Mwamvita alikuwa analia huyo .Very competative

      Delete
  4. Eti huo ndio ushauri wako kwa wasichana wenzako!!! We unadhani kufika hapo ulipo baba yako na mama yako wamekufikishaje au ilikuwaje kashindwa kusoma hiyo shule hebu piga kimya !!!!! Muombe mungu isimtokee mtoto wako maku sana wewe!!

    ReplyDelete
  5. Usijione PERFECT kiviiile au ndo unakili kushinda wote Mwamvita, kwa sababu umefika hapo ulipo, haya maisha tu mtu yoyote anaweza kufanya RIGHT THINGS au akafanya MISTAKE, we kama kilichomtokea ni NONE OF YO BIZZ, bora ukae kimya, kuliko kuongea pumba kama hizi halafu unajiita umesoma....au otherwise kama imekugusa kuna njia nyingi za kumsaidi na sio KUJUDGE.....

    ReplyDelete
    Replies
    1. When it comes to JACKY ..what she did was not a mistake dear……It was something she was doing on the regular….MISTAKE is when you do it ones or twice….lakini JACKY hakufanya mistake….for gods sake MUMEWE WAS DOING THE SAME THING NA SASA YUKO JELA …SO DO YOU CALL THAT A MISTAKE??..I DONT THINK SO…..ILA TU 40 ZAKE ZILIFIKA…..

      Delete
  6. Worst advise ever

    ReplyDelete
    Replies
    1. nakubaliana na wewe worst advise everrrr

      Delete
  7. Ukimwi? Kuvunja familia ya huyo buzi? Ni sawa hayo? au kwako nafuu hiyo? Bogus kabisa.

    ReplyDelete
  8. Sikujua Mwamvita ni fala hivi, kabebwa na babake sasa anaponda wenzake daaah!

    ReplyDelete
  9. We mwamvita ni vizuri kutoa ushauri kwa hao wasichana ambao ni wadogo zako, lakini ushauri uliotoa hapo juu hauendani kabisa na elimu yako yaani ni wa ovyo, shame on you dada, ushauri wako umekaa kitaarabu sana,na muwe mnashukuru misingi ya wazee wenu kabla hamjafungua mabakuli yenu.Halafu unajiita role model ya wasichana bongo? Siyo kwa utumbo ulioandika hapo juu.We ulipaswa ufikirie au utoe mawazo jinsi gani ya kuwasaidia hawa mabinti waepukani kuwa mapunda.Kaka yako january hawezi kuandika utumbo ulioandika.

    ReplyDelete
  10. lol Mwamvita kabebwa na waganga wa kienyeji kuwaloga wanaume anaolala nao wampe mshiko nani asiyemjua huyu malaya wa chinichini. mme wake alimfilisi mpaka nyumba akampa kaka yake waziri aishi, mzungu akawa deported to australia 24hrs kachawi kweli.

    ReplyDelete
  11. Jamani mumsamehe huyu dada "Mwamvita" na yeye huenda angekuea mmoja wapo kukosa uongozi fisadi wa kubebana uliowafanya familia yake iko juu eti "wamesoma - my ass" Sembe muwape ninyi halafu sasa mnamponda dada wa watu kisa amekamatwa! Shame on you Makamba.

    ReplyDelete
    Replies
    1. IT IS JACKYS FAULT….sio lazima akukubali…hamna aliemshikia bunduki na kumlazimisha afanye…..

      AND THATS THE TRUTH…….TUTAWALAUMU DRUG LORDS LAKINI UKWELI NDIO HUO…..

      Delete
  12. mhh Mwamvita dadaangu uache mengine yakupite kama huna cha kusema piga kimya usijiaibishe

    ReplyDelete
  13. Mwavita tutolee unafiki hapa kwanza kamkanye Shamim Mwasha ea 8020 blog ns kile kiserengeti boy chake mumewe Abdul pamoja na Kinje bwana wazamani wa Kiki matron wa Mange waachane na hii biashara ya sembe.Wanatuharibia ndugu zetu na wao wanazidi kuwa matajiri wanalala maghotofani wanaendesha marange rover.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Haya kumekucha,

      Delete
    2. Heee kinje kalamba dada Wa mujini wengi,nikiwaorodhesha umu kutakucha,ni wengiiii

      Delete
  14. Mwavita tutolee unafiki hapa kwanza kamkanye Shamim Mwasha ea 8020 blog ns kile kiserengeti boy chake mumewe Abdul pamoja na Kinje bwana wazamani wa Kiki matron wa Mange waachane na hii biashara ya sembe.Wanatuharibia ndugu zetu na wao wanazidi kuwa matajiri wanalala maghotofani wanaendesha marange rover.

    ReplyDelete
  15. Nyie wote mliokoment ni mafala hamjamuelewa...uelewa wenu mdogo kwa kukosa elimu...kasema mara mia buzi kuliko hayo madawa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mara Mia buzi sasa anataka tuukwae ukimwi?tupe advice ya kutujenga bidada.wewe unabahati mpaka kina R....m,wamekuonga nyumba,

      Delete
  16. Jamani msione wanatanua na kula bata,kuendesha magari woote ni sembe tupu,wanapeleka Mizigo wanarudi hawakamatwi,siku zenu arobaini,j,k,m,s,mpo

    ReplyDelete
  17. Mwamvita ….kutokana na possition ulio-nayo na jinsi wanawake wengi would like to be you…huo ushauri uliotoa kwa kweli…..IS FULL OF SH!T...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli Kabisa is full of sh"t, tuwape vijana ushauri Mzuri na si girls tu hata boys maneno kayatumia kizarau bado najiuliza watoto anaowasomesha waone huu ushauri watakuwa je?

      Delete
  18. Huyo mwavita amatafuta kk kupitia migongoni kwa wa2 hana lolote

    ReplyDelete
  19. Inasikitisha mwavita kusema bora awe na buzi umeona ushauri sababu sembe mbaya zaidi ya buzi, na wacha zarau akili katupa muumba na wanadamu wote wana akili kwa tarifa yako kuzitumia tu. wewe mnachangia watoto yatima na wasio na baba wala mama Leo unawapa ushauri bora awe na buzi?? Na wacha kuwapa mikono wauza unga unao hao marafiki ndio wape ushauri waache kuuwa wananchi sio mpaka litokee jambo ndio ukimbilie social media kujionesha mashauri Mzuri Kumbe unapiga watu vijembe badilika.

    ReplyDelete
  20. Asante dada mwamvita kwa ushauri, ila ungeanza na shoga yako shamimu na kale kaserengeti boy kake.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli angeanzia kwa mashosti zake wenye biashara zisioleweka wengine wauza sembe wengine wezi wa magari. Na hao mabuzi unaowatuma wakawachune si ndio hao hao wenye biashara za ajabu ajabu pamoja na sembe. Unafikiri kwa mshahara upi wa Tanzania mwanaume anaweza kumaintain familia yake at the same time aweze kuwa Buzi la kuchunwa pesa za kununua cl, lv na vogue?

      Delete
  21. Ha aha ha hapo anajisema mwenyewe wajameni maana ni kitoweo cha mabosi Vodacom, Sheria Ngowi, na the likes of Rostam Aziz unategemea nini kutoka kwa huyo mdada descent

    ReplyDelete
  22. Ha aha ha hapo anajisema mwenyewe wajameni maana ni kitoweo cha mabosi Vodacom, Sheria Ngowi, na the likes of Rostam Aziz unategemea nini kutoka kwa huyo mdada descent

    ReplyDelete

Top Post Ad