UHAKIKA..NI KWELI ALIYEKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA CHINA NI JACK CLIFF

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rafiki wa karibu wa video vixen maarufu nchini, Jackie Cliff amethibitisha taarifa zinazoendelea kukua kwa sasa kuwa msichana aliyekamatwa na kilo 1.1 ya madawa ya kulevya aina ya Heroin huko Macau, China ni yeye.

Awali tuliandika kuwa pamoja na jina la mrembo huyo kutajwa na vyanzo vingi kuwa ni kweli amekamatwa, tulichelea kulitaja jina lake ili kuepusha kuandika habari isiyo na uhakika. Rafiki huyo wa Jackie, ambaye pia ni rafiki mkubwa Jux mwenye uhusiano wa karibu na Jackie, Chief Rocka (kiongozi wa kundi la Rockaz) ameandika kupitia Instagram:
“I feel so sorry for jackie…God be with u and help u thru this one…we r human we make mistakes…wuldnt want to jump on judgin u like how other people do….this is Bad…2013 plz its enuf.”

Bongo5 imeongea kwa simu na Chief ambaye yupo masomo nchini China kujua undani wa tukio hilo.
“Amekamatwa kweli,” Chief ameiambia Bongo5. “Nlivyosikia story ni kwamba ametoka Bongo akapita Thailand baada ya kutoka Thailand akaenda Macau, Macau ndio akamatwa. Mimi nilijua sababu nilipigia simu watu wa ubalozini baada ya kupata taarifa tu mara ya kwanza nikawapigia watu wa ubalozi nikawaambia ‘bana, ndugu yetu amekamatwa sasa nataka kujua process ikoje kama kuna kumuona au kama kuna chochote. Kuna ubalozi mwingine mdogo upo Hong Kong wao ndio wakaniambia mambo yalivyo kwamba alikuwa yupo yeye na watu wengine wawili Mtanzania na Mnaijeria, yeye ndo kakamatwa, hawa wengine baada ya kuona wanataka kukamatwa wakakimbia,” Chief ameeleza.
eca86bd9dddf141e387d29
Jackie Cliff aliyekamatwa na madawa ya kulevya akiwa amesimama karibu na meza yalipowekwa madawa yaliyotolewa kutoka kwenye mwili wake
Amesema kwakuwa Jackie amekamatwa Macau ambako kuna sheria tofauti na upande wa bara wa China, adhabu yake inaweza kuwa ndogo kuliko ile ya kunyongwa ambayo hutolewa bara.
IMG_7667
Jackie Cliff akiwa chini ya ulinzi baada ya kukamatwa huko Macau
“Inategemea ukimatwa mainland China halafu labda ukamatwa Macau au kwa Macau na Hong Kong ni kama uko kwetu nikama Tanzania na Zanzibar. Kwahiyo yeye alikokamatiwa ni kama yupo Zanzibar ni ndani ya China lakini inajitegemea lakini sheria zake sio kali sana. Lakini sasa mpaka wajaji kutokana na mzigo walioubeba, wengine wanasema miaka mitatu, wengine minne, wengine wanasema wanatoa kama Hong Kong miaka nane so inategemea na akiisaidia polisi akisema watu aliokuwa akiwapelekea mzigo wapi na wakapatikana, I don’t know.”
85a7de969c6911e29c2822000a1fbe4c_7
Jackie ni mrembo aliyeonekana kwenye video za wasanii kibao wa Bongo zikiwemo She Got A Gwan ya Ngwair, Nataka Kulewa ya Diamond Platnumz, Kimugina na zingine
Hata hivyo Chief amesema ameshangaa kuona jinsi Watanzania wanavyomhukumu mtu kabla ya kujua ukweli wa mambo.
“Yaani hii imereveal jinsi ambavyo Watanzania tuko. Sio kwamba nafahamia sana na Jackie, nimefahamiana naye mara ya kwanza na ya mwisho, sikukaa naye hata kwa wiki tatu, I wouldn’t end up judging someone like how people wanavyojudge kwenye Instagram na mitandao mingine kwamba ‘kapatikana, kaumbuka, bado Jux zamu yake, sijui nini.”
eca86bd9dddf141e39412a
Inadaiwa kuwa madawa haya yalipatikana mwilini mwa mrembo huyo. Madawa hayo aina ya Heroin yana thamani ya shilingi milioni 223
Amesema kuonana na Jackie kwa sasa sio rahisi kwakuwa wengine wasema uwezekano huo unaweza kupatikana mwezi wa tatu mwakani.
Chief ameongeza kuwa hakuna sehemu mbaya na hatari kukamatwa na madawa ya kulevya kama China.
“Navyosema kwamba I feel sorry for her ni kwasababu mimi nimekuwa hapa miaka mitano at least naongea kichina yaani hata wakikifunga you can socialise with people lakini sasa kwa yeye ambaye haiongei,… yaani ukiweka ubinadamu, ukiachana na hayo mambo sijui ya madawa ya kulevya yule ni msichana ni kama wasichana wengine wowote , yaani kama dada yako au demu wako akikamatwa awekwe ndani kwenye nchi ya ugeni ni jambo kubwa yaani especially kwa mtu ambaye umeshamfahamu kidogo huwezi kuanza kumjudge kisa amepost picha ya Benz yake, yaani she is a hardworking woman. Suala la madawa sio zuri lakini sio kila mtu anaweza akafanya.”
Rapper huyo amesema picha zilisombaa mtandaoni zikimuonesha msichana mwenye koti la njano akiwa amekamatwa ni za Jackie.
“Ametoka kwenye gazeti la China Daily, ni gazeti kubwa, ni yeye,” amesisitiza.
Mtandao wa China Daily uliandika: Msichana mwenye miaka 28 kutoka Tanzania alikamatwa kwa tuhuma za kumiliki madawa ya kulevya huko -Macao, Dec 19, 2013. Alikuwa ameficha kilo 1.1 za heroin zenye thamani ya $137,720 ( sawa na zaidi ya shilingi milioni 223) ndani ya mwili wake na kuchukua ndege kutoka Thailand hadi Macao. Alisema alikuwa akielekea Guangzhou, mji mkuu wa jimbo la Kusini mwa China Guangdong.
eca86bd9dddf141e3a492b
Waandishi wa habari wakipiga picha madawa ya kulevya aina ya Heroin yaliyokamatwa pamoja na vitu vingine.
Imeandikwa na Bongo5.com
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kila video vixen Ni punda serikali yetu vipi ipo likizo? Na bado yanapita kwenye viwanja vyetu vya ndege.

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe uliyehakiki hii habari na huyo Jackie wote mapunda kumanina zenu mnaua watoto wa watu halafu mnataka tusiwajudge? tutawajaji tunavyotaka mbwa wewe halafu unapiga simu ubalozini kuomba msaada wa ujinga wenu ndio nyinyi watu wa ubalozini waache kufanya kazi na maana mnataka waje kuwatoa wafungwa mapunda na wewe huko china miaka mitano unafanya nini kama sio kupokea mapunda na kuwapa hifadhi ulaaniwe wewe na ukoo wako wote

      Delete
  2. Tunaomba serikali iingilie kati atoke Kama fineassgirl pleaseee nampenda huyu Jackie Alikuwa Ana maisha ya kifahariiii anatesaaaa,hela anachezea hatari,kanunua nyumba,gari benzi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe fala kweli, na hujui unachokisema! ukimpenda mtu basi hata akifanya kosa aachwe. ngoja aje kumuua mama yako tuone kama utaendelea kumpenda. bwege wewe!

      Delete
  3. Bora angekamatwa hong kong matako ww ufeeeee! Mmezoea raha wasenge nyie au zngekupasukia tumbon

    ReplyDelete
  4. Acheni kuuendekeza upumbavu. Hii biashara haikuanza leo! Isipokuwa imepita kiwango na inabidi kuikomesha kama vile wanvyojitahidi kutafuta dawa ya ukimwi. Vijana kuna njia nyingi za kuwa tajiri, si bora angeenda kuuza sura/mwili wake majuu angekuwa na pesa huenda zaidi ya hizo. Nobody is judging her, she potraid herself how dumb asshole she is!

    ReplyDelete
  5. Ila hawa warembo wabongo noma mi siwawezi, yaani mambilimbi yote hayo unayapitishia mdomoni mpaka linachubuka halafu yanatokea mkunduni kama yalivyo, yaani warembo wa kibongo ni noooma siwawezi, mi mwanaume lakini kutolea hayo mambilimbi mkunduni siwezi, lazima uwe unaliwa tigo sana kuwa na ujasiri huo! Khaaa! Puuu! Yaani mie mnanitisha, na hamjui kwamba uwezekano wa kupasukia tumboni ni mkubwa, yaani madada wa kibongo ni nouuumer!!

    ReplyDelete
  6. Hakuna cha nouumer ni upuuzi tu wanna uwendekeza muangalie na hile max walio mvalisha amekuwa kama ZOMBI au mzuka Julio fufuka. Za mwizi 40 Msenge mkubwa wewe bora wakunyonge tu ungeangamiza maisha ya vijana wangapi huko China? Naongea Kwa uchungu mkubwa maana nimesha poteza ma bro na masister kibao hapa bongo kwa kutumia hiyo midawa na ilibaki kidogo tumpoteze Rey C sasa faida yake iko wapi? Bora ufe wewe mmoja wapone vijana elfu1.

    ReplyDelete
  7. tatizo ni tamaa za hawa dada zetu wa siku hizi ndo zinawaponza, halafu kuna watu wakubwa nchi hii wanafanya biashara hii na kuwapa hawa dada zetu uhakika kwamba hata wakikamatwa watatoka tu, c umeona ya kina masongange, ndo maana nao hawaogopi kuyabeba, wabaya ni hao vigogo, c tulimsika hata mmojawapo hivi majuzi alijitapa kwamba watoto wetu wanauza unga na hawakamatwi, mbaya sana hii na inasikitisha.

    ReplyDelete
  8. Hizo pipi zinapitia kwenye haja kubwa na sio mdomoni.

    ReplyDelete
  9. Jamani tuseme ukweli, hawa so called warembo wa kibongo hawajitambui, kwanza wengi shule hawana ndo mana wanataka makubwa badala ya kujituma, ss huyo jack nae anapenda mambo makuuubwa kumbe punda, inabidi wachunguzwe wote hasa huyo dida..........

    ReplyDelete
  10. Mavi yao, tena mi natamani waendelee kukamatwa, wanasababisha watoto wa watu wanakufa, wanaharibikiwa maisha, wenyewe kutuchisha tu mjini hapa, jwendaa

    ReplyDelete
  11. NAOMBA CHINA IFANYE KAZI YAKE KAMA INAVYOTAKIWA KWA HUYU DEMU MBAYA WA SURA MASHAUZI KIBAO HALAFU WEWE UNAESEMA HARD WORKER KWA MADAWA YA KULEVYA. MXIIIIUUUUUUUUUU KUTAKA KUVAA NGUO NA VIATU VYA MILIONI HUKU KAZI YA MAANA HUNA SHENZI MBWA HUYU AKAFIE MBELE HUKO. CHINAA DO YOUR JOB MAN.........

    ReplyDelete

Top Post Ad