MWANAMUZI BORA WA MWAKA 2013 NI NANI?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwaka uliopita 2013 ulikuwa wa Mafanikio Makubwa sana kwa Wasanii hasa wa Bongo Flava ..Wengine wameweza mpaka kushika nyoyo za Mashabiki nje ya Tanzania ...Je unafikiri nani ni Mwanamuziki Bora Katika Mwaka ulioisha jana 2013?  Comment Jina la mwanamuziki unae dhani ni Bora
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

40 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ali k ndo mwanamuziki mkali
    hao wengine wanamgiiza yeye...mjadala umefungwa!!

    ReplyDelete
  2. ali kiba ndio alitamba kwa mwaka 2013!

    ReplyDelete
  3. msema kweli mchukiwa na wengi1 January 2014 at 13:02

    ali k ndio ulimuingiza dimpoz kwenye game fanya uludi uwafukuze hawa njiwa wanakula mtama wako

    ReplyDelete
  4. kweli ali ni mkali lkn hapo wanaongelewa waliotamba mwaka 2013..kwa mm nahis diamond bado alifunika 2013

    ReplyDelete
  5. Diamond yupo juu

    ReplyDelete
  6. Ali K Kawakalisha Kwa Nyimbo Za Kushirikishwa Je Angetoa Zake Cmngelala Kabisa.Noma Sana Kaka

    ReplyDelete
  7. Ben pol ndo mkal ingawa nae platnumz anatsha,,?

    ReplyDelete
  8. nasema mjadala umefungwa ALI K 4REAL

    ReplyDelete
  9. ali k miaka 800

    ReplyDelete
  10. Kitu cha diamond bhana


    ReplyDelete
  11. Diamond Nouma by Shayun wa mtico

    ReplyDelete
  12. Ali kiba ndo mkali

    ReplyDelete
  13. diamond platnumx

    ReplyDelete
  14. Diamond Ndo Mkali Asikwambie M2

    ReplyDelete
  15. Diamond Baba Rao Kashika Chat Mwaka 2013.

    ReplyDelete
  16. diamond hana mpinzani

    ReplyDelete
  17. Mavoko anaimba aisee dah diamond anaweza omari anajua benad paulo anakamua mi naona wenge tu hapo

    ReplyDelete
  18. Dah 2fanya kula ang imeharibika

    ReplyDelete
  19. Dah 2fanya kula ang imeharibika

    ReplyDelete
  20. Dah 2fanya kula ang imeharibika

    ReplyDelete
  21. Dah 2fanya kula ang imeharibika

    ReplyDelete
  22. Dah 2fanya kula ang imeharibika

    ReplyDelete
  23. Dah 2fanya kula ang imeharibika

    ReplyDelete
  24. Kiba anajua lkn kwa mwaka wa jana hakuna kikubwa alichofanya kufika hata nusu ya Diamond bila majungu ulikua mwaka wa Diamond kwa kweli

    ReplyDelete
  25. Platnumz ndo mpango mzm anatisha kama yai la kuchemsha

    ReplyDelete
  26. Domooooo tisha

    ReplyDelete
  27. Kiba Noma 4really And 4realler Music From Kiba Mchizi Wa Bongo Tanzanian Boy Baba La Wanamuziki Bongo

    ReplyDelete
  28. Diamond ndo yuko juuuu,,,,,
    Ali K sawa ila cjaona alichofanya mwaka jana,,,,,,

    ReplyDelete
  29. Usiseme Hivyo Kiba Noma Hakuna Yoyote Anaepiga Sauti Hile.Kafunga Mwaka Kwa Nyimbo Za Kushirikishwa Na Wengi Kuliko Msanii Yeyote Yule Tz Na Hakuna Hata Moja Aliyo Haribu.Mkali Ni Mkali Tu Kiba 4real And Forever Blother Endeleza Kufanya Waumie Roho.Hee Baaaaaaas!

    ReplyDelete
  30. kizuri huwa kinapendwa hivi mnadai kiba wakati domo anavuma kimataifa chuki zenu bila sababu zitaisha lini ongeeni ukweli domo kafunika saana

    ReplyDelete

Top Post Ad