NISHA "MIMI SIVUTI SIGARI-NAVUTA KWENYE SCENE YA MOVIE TU IKILAZIMU NIFANYE HIVYO"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mcheza filamu za kibongo Salma Jabu Nisha amesema havuti sigara nje ya filamu hivyo mashabiki wasimtafasiri tofauti wakiona anaigiza kuvuta sigara kwani yeye anafanya jinsi “scene“inavyotaka
Akitolea mfano kwenye filamu ya shaymaa anasema “story“ilitaka avute sigara ndio maana amevuta lakini sio mvutaji kabisa wa sigara kwenye maisha ya kawaida
“mimi sivuti kabisa sigara njee ya filamu hivyo msinitafasiri tofauti jamani navuta sigara kulingana na story inavyotaka“
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. tigo si unamgawiaga mpaka babaako malaya wewe au na hilo unabisha?

    ReplyDelete
  2. Lakini siume vuta
    acha usenge

    ReplyDelete
  3. Hata picha iliyowekwa hapo moja kwa moja inaonyesha wewe si sigara tu hata bangi unapeleka,

    ReplyDelete

Top Post Ad